Masikini UKAWA

Masikini UKAWA

Nape Nnauye

MP Mtama
Joined
Dec 26, 2012
Posts
99
Reaction score
408
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
 
Hahaha! Kwani Oluoch ni chama gani cha siasa? Kuna uhusiano gani Kati ya Olouch kuingia bungeni na upinzani kufa? By the way upinzani ukifa wewe utafanya kazi gani? Kwa nini usifurahi badala ya kusikitika? It's too low for you kaka
 
Huna hoja, siasa zako ni mufilisi. Huwezi kujenga hoja za ushawishi ubaki tu kuisema chadema. Hicho sicho wananchi wanachokitaka.
 
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.
 
Bila UKAWA hakuna katiba ya Wananchi. Hii ni katiba ya CCM ikishirikiana na CCM wenzao kutoka 201 kama Kingunge kutoka kundi la Waganga na Wachawi, Askofu Mtetemelwa, na Oluoch
 
wewe kilaza unaangalia bunge saa hizi huna kazi ya kufanya? shenzii type
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Duh kweli ile combination inawachanganya, kama unaona cuf na nccr wanapotea si ufurahi maana upinzani unakufa cha ajabu umekua consultant
 
Nape mbona unatumia makalio kufikiri badala ya akili. CHADEMA na ukawa vinakuhusu nini??.Wewe pepeta maneno yako kwenye magamba huko huko na siyo kubwatuka kama mbwa aliyeona sungura aliyenona akiwa amefungwa mnyororo.

Ccj ilikushinda mchumia tumbo.
 
Sasa ninaamini kuwa kweli Ulipata Div IV ya point 29, ukiwa na F ya Civics. Sijui CCM wanatumia vigezo gani kuteua watu wa kushika cheo chako?
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

- Juzi nilikutana na mbunge mmoja wa Chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!

Le Mutuz System
 
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.

Sisi tunawapenda na tunawaunga mkono. Matumaini ya Tanzania yapo mikononi mwa upinzani. CCM ni genge la mafisadi, maharamia, ujangili.
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Wakati unapo taka kuongea au kuandiaka chochote anza kufikiria siku moja kabla au ulale kwa muda wa masaa yasiyo pungua 6 ndio uongeye na watu au ndio uandike angalizo kunakitu nimegundua kwenye ubongo wako fuata ushauri plz
 
Hawa watoto wa ccm wanajifanya wananachungu ya nchi wakati vyeo wanapewa buree wanatumia kodi zetu afu mtu kama nape ananyanyuka anajifanya ana uchungu na Tanzania? Muda unakuja watakimbia wenyewe
 
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!

Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!

Wamebaki wenye chuki na uislam wadini wabaguzi wa kikanda na ukabila na werevu wa matusi
 
Back
Top Bottom