Masikini walimu wa Tanzania

Masikini walimu wa Tanzania

mysee

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
74
Reaction score
9
Hakuna jambo linalo katisha Tamaa na kutia simanzi kama dharau iliyonayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama KUTOTHAMINI MADAI YA WALIMU NA KUENDELEA KUONGEZA MADENI YASIYO NA MSINGI
HABARI ZA NDANI NA UKWELI NI KWAMBA....
``FEDHA ZA LIKIZO YA MWEZI JUNI 2014 ZIMEPELEKWA KWENYE MRADI WA MAJI``
Fedha zote hazikuonekana mfano posho za wajumbe wa bunge la katiba n.k
JE? TUTAFIKA?
 
Si ninyi mnaoiweka hiyo serikali madarakani kila uchaguzi ukifika?
 
Hakuna jambo linalo katisha Tamaa na kutia simanzi kama dharau iliyonayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama KUTOTHAMINI MADAI YA WALIMU NA KUENDELEA KUONGEZA MADENI YASIYO NA MSINGI
HABARI ZA NDANI NA UKWELI NI KWAMBA....
``FEDHA ZA LIKIZO YA MWEZI JUNI 2014 ZIMEPELEKWA KWENYE MRADI WA MAJI``
Fedha zote hazikuonekana mfano posho za wajumbe wa bunge la katiba n.k
JE? TUTAFIKA?

Mhhh!! mpaka leo hatujapata hela za likizo,kama ni kweli kwa nini iwe hivi kwa walimu na si kada nyingine?
 
Mhhh!! mpaka leo hatujapata hela za likizo,kama ni kweli kwa nini iwe hivi kwa walimu na si kada nyingine?
Kwasababu ndio wafanyakazi makini na sikivu linapokuja swala la kuwachezesha watoto ngoma na ngonjera za kusifia CCM na viongozi wao na kuwachagua katika chaguzi mbalimbali!
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Acha ujinga habari za CCM zimeingiaje hapa?
 
Acha ujinga habari za CCM zimeingiaje hapa?
Zimeingia kwakua serikali unayoililia ndo CCM!
Kwenye Sera za Chama tawala nyie sio priority kwakua hamna meno ya kung'ata, nyie ni sikivu na makin na wanyenyekevu!
 
kwani shemeji yenu kawageuka tena!? dah!? njaa mbaya yaani asee eti shemeji haya nendeni ikulu shemeji yenu kalala
 
malalamiko ya walimu serikari hatuhangaiki nayo hawa si ni sehem ya gvmnt ata wao wanalijua, ndo maana huwa wakilialia huwa tunawapoza kwa kuwavisha nguo za chama chetu tawala wanakaa kimya chezea kijan wewe!
 
Tatizo ni kwenu wenyewe walimu,mnashindwa kuwa organized.

Mkiamua kuifanya vyovyote hii nchi mnaweza, kushinikiza malipo, kuwafunza wanafunzi mabadiliko(kuikataa CCM) n.k

Kwani walioko wizarani sio walimu? Ni walimu wenyewe wanakandamizana...hatuna serikali,tuna binadamu wajiitao ni serikal na miungu watu.

Tubadilike...CCM haitufai.

*mimi si chadema wala cafu, ninaunga mkono mabadiliko!!!
 
Acheni hzo make m2 yeyote haijalish ccm ama cuf ama m2 bnafsi akpewa madaraka ni walewale 2. jali ulichonacho fanya kazi kwa uaminifu Mungu ndie anaelipa c wanadamu angalia uckose kote duniani na mbinguni! 'UBINADAMU KAZI'
 
Licha ya kutojitambua pia wanapenda sana kufanya kazi kwa kujipendekeza pendekeza, nimeshuhudia baadhi ya walimu wakibeleza kupewa ukuu wa shule ktk wilaya flani.
 
Back
Top Bottom