Hakuna jambo linalo katisha Tamaa na kutia simanzi kama dharau iliyonayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama KUTOTHAMINI MADAI YA WALIMU NA KUENDELEA KUONGEZA MADENI YASIYO NA MSINGI
HABARI ZA NDANI NA UKWELI NI KWAMBA....
``FEDHA ZA LIKIZO YA MWEZI JUNI 2014 ZIMEPELEKWA KWENYE MRADI WA MAJI``
Fedha zote hazikuonekana mfano posho za wajumbe wa bunge la katiba n.k
JE? TUTAFIKA?
Kwasababu ndio wafanyakazi makini na sikivu linapokuja swala la kuwachezesha watoto ngoma na ngonjera za kusifia CCM na viongozi wao na kuwachagua katika chaguzi mbalimbali!Mhhh!! mpaka leo hatujapata hela za likizo,kama ni kweli kwa nini iwe hivi kwa walimu na si kada nyingine?
Kwasababu ndio wafanyakazi makini na sikivu linapokuja swala la kuwachezesha watoto ngoma na ngonjera za kusifia CCM na viongozi wao na kuwachagua katika chaguzi mbalimbali!
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Zimeingia kwakua serikali unayoililia ndo CCM!Acha ujinga habari za CCM zimeingiaje hapa?
Si ninyi mnaoiweka hiyo serikali madarakani kila uchaguzi ukifika?
Si ninyi mnaoiweka hiyo serikali madarakani kila uchaguzi ukifika?