Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,045 Reaction score 358 Mar 15, 2012 #161 Dena Amsi said: Huyu mtoto anahitaji maombi tena ya kufunga kabisa Click to expand... huyu binti acpokufa kwa ukimwi mungu 2 anajua kwa nini
Dena Amsi said: Huyu mtoto anahitaji maombi tena ya kufunga kabisa Click to expand... huyu binti acpokufa kwa ukimwi mungu 2 anajua kwa nini
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Mar 15, 2012 #162 Hivi Jamani kama wema ni :- Mwanao Mdogo wako Dada yako Rafiko yako Utamsaidiaje??
Mwalimu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 1,585 Reaction score 1,073 Mar 15, 2012 #163 FirstLady1 said: Hivi Jamani kama wema ni :- Mwanao Mdogo wako Dada yako Rafiko yako Utamsaidiaje?? Click to expand... Maombi...nje ya hapo utatandika mikwaju uishie kujeruhi!
FirstLady1 said: Hivi Jamani kama wema ni :- Mwanao Mdogo wako Dada yako Rafiko yako Utamsaidiaje?? Click to expand... Maombi...nje ya hapo utatandika mikwaju uishie kujeruhi!
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Mar 15, 2012 #164 FirstLady1 said: Hivi Jamani kama wema ni :- Mwanao Mdogo wako Dada yako Rafiko yako Utamsaidiaje?? Click to expand... kuna mahali ikifika unaangalia kwa macho dunia imfunze kwanza...huwezi lazimisha ng'ombe iywe maji!
FirstLady1 said: Hivi Jamani kama wema ni :- Mwanao Mdogo wako Dada yako Rafiko yako Utamsaidiaje?? Click to expand... kuna mahali ikifika unaangalia kwa macho dunia imfunze kwanza...huwezi lazimisha ng'ombe iywe maji!