Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepo unalo wewe, niwe Wema nisiwe Wema haikuhusu!! watu kibao mjini wanatembea na waume za watu.....ni jambo baya ndiyo lakin mleta thread alivyoshadadadia utafikiri huyu Wema amembaka mbuzi...teh jaribuni kuangalia nyendo zenu kabla hamjavalia vibwebwe ya wenzenu! Hata uengenyaji nalo ni pepo kwa taarifa yako
Angekuwa mwanao au dada yako ungesema hivi kweli?
Huyu mtoto wa kike anatapatapa na wanaume sio design yake mpaka inashushia hadhi yake. Yaani bure kabisa hata kama ni mzuri lakini huwa hachukui maamuzi ya kuaminika kwenye mapenzi.
Ataishia kuwa papa wa mji, kila mtu kumnusa
Mie ni mume wa mtu ni-PM basi unipe namba zako ili nikutafute
Sasa hiyo pole unayompa ni ya nini kama mtu anaingilia ndoa ya watu? Huyu mtoto ni wa kufanyiwa maombi kwani inaelekea ni mchafu kupindukia- kwa wanaume wa dar labda ni mimi peke yangu sijamlala!
Yaani kale kashimo kangekuwa kana expire kakitumika sana sipati picha ya huyu dada.
mmmnh basi mbaya ataonekana wema tu,malaya ni yeye hilo lijanaume lililomuacha mkewe ndani na kwenda kwa wema wala halitaonekana,acheni kulea tabia hii mbovu!!!!....huyo mwanamke kama ni jasiri angemshushia mumewe kipondo kwanza kwa kumdhalilisha....
na wewe wema umezidi,unatoa harufu kama samaki ng'onda......hata ufunikwe vipi ujinga wako haufichiki,