vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,500
Nimekumbuka story moja!
Elimu ndogo na ujinga mwingi ni kazi sana, Elimu Elimu Elimu R I P Ngoyai Lowasa uliona mbali!
Hakuna ukombozi bila elimu na watu kujitambua, Masikini wa kutupwa wenye sare wanawapiga masikini wasio na sare ili wasidai haki, Lengo kubwa ni kulinda maslai ya matajiri, Kisha baadae masikini hawa wenye uniform, wanatupwa kama Toilet paper
Bara la giza ni laana tupu, Ee mwenyezi Mungu tufutie hizi laana, Tusamehe Tulipokukosea🙏