Hata wagonga meza yumkini wanashibishwa ili waneemeke dhidi ya masikiniNdiyo maana hao matajiri hupenda kuajiri wenye elimu ndogo ili watumikishwe na matajiri yatakavyo maana hawatakuwa na akili ya kujitambua kuwa wanayofanya ni Kwa maslahi ya matajiri Huku wao wakiendelea kuwa masikini
Umeongea point ni vile mim ni moja ya kifungu hiko sitakuwa na Zawadi ya kutoaNimekumbuka story moja!
Elimu ndogo na ujinga mwingi ni kazi sana, Elimu Elimu Elimu R I P Ngoyai Lowasa uliona mbali!
Hakuna ukombozi bila elimu na watu kujitambua, Masikini wa kutupwa wenye sare wanawapiga masikini wasio na sare ili wasidai haki, Lengo kubwa ni kulinda maslai ya matajiri, Kisha baadae masikini hawa wenye uniform, wanatupwa kama Toilet paper
Bara la giza ni laana tupu, Ee mwenyezi Mungu tufutie hizi laana, Tusamehe Tulipokukoseaš
View attachment 3299136
š¤£š¤£Na mbaya zaidi hao masikin wenye uniform wanaweza kukupiga mbata mpaka ukashangaa niliwah wafanyia lipi mbaya maana kwa jinsi walivyo siriaz,kumbe wanatii tu maagizo ya wakubwa wao masikini wa mungu