Masikini Wenzangu - Ngwair

Masikini Wenzangu - Ngwair

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
download-18.jpg


MASIKINI WEZANGU - NGWEA.

Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/
Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports /
Mikoa mingi bado haina hata airports /
Zaidi ya migodini madini kuyaexport /
Bila ya wazawa kufaidika /
Ndo mana Wanzanzibara wamechoka kutanga na nyika /
Big up Mandela leo South sio Africa /
Waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika /
Bidhaa zilizoexpire kutubambika /
Meli zinazidi zama wengi daily tunawazika /
Wenye hali duni ndo tunaoathirika /
Wao mavx yao ni special order uhakika /
Tutalia machozi ya damu mpaka yataform bahari /
Na tutaogelea wenyewe hata watu hawajali /
Lete mgomo baridi uijue serikali /
Then muulize Ulimboka umuhimu wa madakatari let’s go ...

#funguka
Leo tunaangazia kuhusu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni pamoja na athari za sheria nchini Tanzania..

Je? Ni kweli tuna haki ya kusherekea Uhuru .

Maana Ngwea katika wimbo huu wa " masikini wezangu" anasema hivi ( waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika"

Je? Ni kweli tumepigika..?

Lakini pia msanii Roma katika wimbo wake wa " Viva" anasema hivi

"Uhuru uko wapi………⁉️
Mnasherehekea uhuru……‼️
Uhuru wa kutowafilisi viongozi wakijiuzulu?
Na wanaokufa maskini wanangu wa Burya Nkulu/
Mungu aliwapa madini mnambinafsisha Mkaburu!/
Bungeni sioni kinachoendelea, naona wasomi wakisutana umbea/

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

Sherehe ya Uhuru hufanyika kila mwaka nchini Tanzania tarehe 09 Disemba. Shamrashamra hizi hufanyika kusherehekea kupatikana kwa uhuru kutoka kwa Mwingereza tarehe 9, Disemba 1961.
 
Back
Top Bottom