Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Hakuna aliyesema EATV wana haki miliki ya vipaji vya hao vijana waliokuwa kwenye kundi la Ze Comedy. Mfano Ali Choki alipoona maslahi kiduchu Twanga Pepeta aliondoka baada ya kuona amepatata umaarufu, lakini hakuweza kutumia jina la Twanga Pepeta kwa kuwa sio mmliki wa lebo hiyo. Ndo hivyo hivyo kwa hawa vijana. Kuna tofauti kati ya watu kuanzisha kundi lao la usanii na kulipa jina then kwenda kuomba ajira huko EATV, na EATV kuamua kuanzisha program na kuipa jina kisha kutafuta watu wenye kipaji cha kuigiza katika hiyo program.
Mi sioni tatizo kwa EATV kutetea haki yao, hao the comedy kwanza hawana tena umaarufu kama ilivyokuwa mwanzo, ni kwa sababu kuna kipindi walinunuliwa na mafisadi wakawatetea na kisha kuwaponda watu wanaopigana dhidi ya mafisadi.
Kwanza huko kwenye TV ya Taifa wataweza kumsema mkapa?, kikwete?, mawaziri? Jibu ni kwamba hawawezi badala yake wataenda kutetea ufisadi
Kipanga sikuiona hiyo nafikiri walikuwa wanajua tayari kuwa sanga linaendelea!ndo maana wakaandika hivyo la sivyo EATV ingewashitakihollo,
Mbona hata jina niliona wamemodify siku ile ya mechi ya Taifa Stars na Indomitable Lions niliona wanaandika "Zee Comedi" kwa hiyo huenda walistukia kimbunga kinachokuja.. ama kweli la kuvunda halina ubani!!!
What about Ze fisadi Comedy?...🙂
What about Ze fisadi Comedy?...🙂
umiliki wa kazi za sanaa na mgawanyo wa mapato yatokanayo na kazi za sanaa si jambo geni. tanzania yetu bado ni changa katika nyanja hii, ingawa usanii umekuwepo toka enzi za mababu wasanii kibao wanalizwa na wataendelea kulizwa! suala la Ze Comedy linategemea na mkataba wa awali baina yao na EATV (kama kweli mkataba ulikuwepo (nani anaandika script, nani ana design costume, nani anadesign set, nani ana direct, nani anaproduce, nani anafanya maigizo (permanent ama kama mgeni mualikwa), nani anagharimia production costs. then mkataba wenyewe (ama watu wanalipwa kwa mkupuo ama wanalipwa kila baada ya 'episode' plus percentage ya mapato mengineyo yatokanayo na matangazo ya biashara, mauzo ya dvd/video and other merchandize like tshirts, vinyago etc etc. na kuna issue ya future sales and mechandizing, nini kinattokea kundi likisambaratika kwa sababu mbali mbali etc....ama nini kinatokea iwapo upande mmoja unataka kuvunja mkataba. sasa hawa wenzetu wa ze comedy walikuwa na mkataba wa aina gani na EATV?. Kazi za sanaa haziwezi kufanyika kutegemea 'handshake' peke yake. Wanasheria wapo.....pay them to get a better deal. if they are ready to put up a good legal fight, all is not lost. it is still possible to make substantial amends in the original contract by arguing that EATV took unfair advantage of the Ze Comedy proceeded to benefit from their ignorance of the law and helplessness. hii bado inawezekana. lakini je hali ndivyo ilivyokuwa???Ze Comedy yapigwa ‘Stop' TBC
na Sarah Kassim
Katika hali ya kusikitisha haya ndiyo yanayowapata vijana wetu kipenzi wa zecomedy sasa. Hii yote inatokana na uhasama wa tembo wawili wao ni nyasi tu hapa. Je tutaacha kundi hili life je, jf tunawasaidiaje? Maana kinachowapata wao ndio kilichoipata iliyokuwa jambo forums hadi tulipopiga chenga kwenye domain rights na copy right hadi kuwa jamii forums. Hawa nao wakisaidiwa huenda wakpiga bao kama sisi. Na huko TBC naona kama ndio wamekweisha sasa. Mnasemaje wana jamvi?
Hili ni fundisho kwa vikundi vingine tanzania wakimbilie kuandikisha kazi zao mapema kabla wamiliki wa vituo vya TV hawajaenda kuziandikisha kama kazi zao
Attitude hiyo....Mhh..Hawa ni wajinga kwani waliona kuwa wamekuwa maarufu wakadhani kuwa wako juu ya sheria?
Hawahitaji huruma hawa kwani hata ningekuwa mimi wa EATV ningetetea haki yangu ,na huo ndio mfano wa kuigwa .