Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
mmmh am doubting!!They are going down now.Tatizo hapa kuna nguvu kama nne zavutana
1.TBC vs EATV
2.MENGI vs MANJI aliesikika kuwapeleka wasanii hawa UK.
Vijana mpaka waje na kitu cha kuweza kukubalika tena yahitaji ubunifu wa hali ya juu!!
Wao nyasi tuu wanaumia ktk vita ya mafahali wakubwa.
Na je la msingi ni TBC itaweza kutengeneza graphics nzuri kama zile za EATV ktk kurusha kipindi hiki?
Binafsi ningewashauri warudi EATV wakae chini wajadiliane kiutu uzima nini kifanyike hata kama wanahama.Usupastaa waweke kando waangalie nini EATV wanataka na wao waseme nini wanataka wakishindwana then basi watafute kitu kipya!!