Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Dec 9, 2015 #1 Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jan 3, 2017 #2 chukuwa kijiko 1 cha unga wa mdalasini kijiko kidogo changanya na kijiko 1kikubwa chaAsali koroga vizuri uw eunaukula kila siku asubuhi mchana na usiku utasikia vizuri.
chukuwa kijiko 1 cha unga wa mdalasini kijiko kidogo changanya na kijiko 1kikubwa chaAsali koroga vizuri uw eunaukula kila siku asubuhi mchana na usiku utasikia vizuri.
A A JUSTMAN JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 439 Reaction score 555 Jan 3, 2017 #3 mazina said: Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu Click to expand... Nenda hospitali umuone daktari atakufanyia checkup inaezekana uchafu mwingi umeziba huwa wanapiga bomba kuuondoa Ear syringing.
mazina said: Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu Click to expand... Nenda hospitali umuone daktari atakufanyia checkup inaezekana uchafu mwingi umeziba huwa wanapiga bomba kuuondoa Ear syringing.