Masikio kusikia kwa mbali

Masikio kusikia kwa mbali

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu
 
chukuwa kijiko 1 cha unga wa mdalasini kijiko kidogo changanya na kijiko 1kikubwa chaAsali koroga vizuri uw eunaukula kila siku asubuhi mchana na usiku utasikia vizuri.
 
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye miaka 25,tatizo nililonalo ni kuwa masikio yangu yote yamepoteza usikiaji,tafadhalini naomba msaada wenu
Nenda hospitali umuone daktari atakufanyia checkup inaezekana uchafu mwingi umeziba huwa wanapiga bomba kuuondoa Ear syringing.
 
Back
Top Bottom