Naomba msaada; masikio yangu yanawasha sana. Nimetumia pamba stick kusafisha mara kwa mara ila hali ni ile ile, wala hayatoi uchafu ila yanawasha kwa ndani tu.
Weka olive oil matone mawili kila siku asubuhi na jioni. Ukiweka kwa wiki mbili tatizo litaisha. Au nenda pharmacy nunua Sweet Oil wela matone mawili. Unapoweka mafuta hakikisha yameingia mpaka ndani kabisa ya sikio.
Angalizo: yanatekenya