Masikio yanawasha sana jamani msaada tafadhali

Masikio yanawasha sana jamani msaada tafadhali

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Habari zenu wanaJF,

Naomba msaada; masikio yangu yanawasha sana. Nimetumia pamba stick kusafisha mara kwa mara ila hali ni ile ile, wala hayatoi uchafu ila yanawasha kwa ndani tu.
 
Weka olive oil matone mawili kila siku asubuhi na jioni. Ukiweka kwa wiki mbili tatizo litaisha. Au nenda pharmacy nunua Sweet Oil wela matone mawili. Unapoweka mafuta hakikisha yameingia mpaka ndani kabisa ya sikio.
Angalizo: yanatekenya
 
Asante mkuu, hiyo olive oil naweza kupata maduka ya dawa au maduka yapi?
 
pia jiepushe na makelele, matumizi ya ear phone kwa sauti kubwa, na high pitch sound
 
Back
Top Bottom