Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Punguzeni kuwatabiria mabaya wenzenu jamani hata kama ni roho mbaya ndio hivi?siwapendi Chelsea lakini sio kwa dua hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi umesahau kuwa kazi ya Leo Messi ni kumtungua kipa [emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa muulize kipa wenu Curto je hajawai onja bakora ya Messi au ampigie cm yule aliyekimbilia Arse8 kuwa hajawai kutana na kichapo cha Messi?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Muulize mchezaji bora messi timu gani hawazi,hajawai kuifunga na kushuka daraja atakwambia
Aya asee namkubali jamaa anajua ila ntamkubali akiifunga Yokohama bus kama gemu 8 hivi ajawai kufunga hats penalt anakosa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi umesahau kuwa kazi ya Leo Messi ni kumtungua kipa [emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa muulize kipa wenu Curto je hajawai onja bakora ya Messi au ampigie cm yule aliyekimbilia Arse8 kuwa hajawai kutana na kichapo cha Messi?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tatizo kiwango mkuu .Punguzeni kuwatabiria mabaya wenzenu jamani hata kama ni roho mbaya ndio hivi?siwapendi Chelsea lakini sio kwa dua hiyo.
Nimecheka sana !Hilo jina lako lenywe ni ushahidi tosha kuwa kichwa chako kimeingiliwa na virusi kibao. Chelsea in Mega klabu. Pole sana mgonjwa wewe.
Uko wazimu weee, laana inawafuata nyie wa 12-0, msimu ujao tumeeja teleNimefanya uchunguzi miongoni mwa timu zilizopo kwenye ligi kuu ( PREMIER LEAGUE ) kwa sasa Nchini England , utabiri wangu hauiepushi chelsea na janga la kushuka daraja.
Ikiwa imesalia mechi moja tu , timu hii ina point 48 tu ! Hii ni dalili mbaya sana kwa msimu ujao .
wachambuzi wa mambo ya soka wanadokeza kwamba laana ya kudhalilisha makocha wa dunia nzima ndiyo inayoitafuna chelsea.
Wengine wanatabiri kwamba Antonio Conte ndiye Mwl wa kwanza miongoni mwa watakaotimuliwa msimu ujao, ukiangalia kwa makini wachezaji wa chelsea wamekata tamaa kabisa ! Na game ya jana dhidi ya Sunderland ni ushahidi wa wazi kabisa .
Kwaheri chelsea , kwaheri Abramovic , soka si kama biashara ya mafuta .
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]labda wewe ndio utashuka daraja la kupost ujinga
Hapana tena mwakani haya matimu makubwa utayaona usidhani huu upuuzi utajirudia zitajipanga zenyewe top 4.Tatizo kiwango mkuu .