Masikitiko - Chelsea kushuka daraja msimu ujao .

Punguzeni kuwatabiria mabaya wenzenu jamani hata kama ni roho mbaya ndio hivi?siwapendi Chelsea lakini sio kwa dua hiyo.
 
Muulize mchezaji bora messi timu gani hawazi,hajawai kuifunga na kushuka daraja atakwambia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi umesahau kuwa kazi ya Leo Messi ni kumtungua kipa [emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa muulize kipa wenu Curto je hajawai onja bakora ya Messi au ampigie cm yule aliyekimbilia Arse8 kuwa hajawai kutana na kichapo cha Messi?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aya asee namkubali jamaa anajua ila ntamkubali akiifunga Yokohama bus kama gemu 8 hivi ajawai kufunga hats penalt anakosa
 
Reactions: PNC
Mie ni shabiki wa Chelsea, kwa yale waliyomfanyia Mourinho. ....wacha wasote tu miaka kibao kama walivyokua kabla The Special One hajatua darajani kwa mara ya kwanza.
 
Hilo jina lako lenywe ni ushahidi tosha kuwa kichwa chako kimeingiliwa na virusi kibao. Chelsea in Mega klabu. Pole sana mgonjwa wewe.
 
Uko wazimu weee, laana inawafuata nyie wa 12-0, msimu ujao tumeeja tele
 
Acha bangi kijana!! Chelsea msimu ujao ni kichapo tu kama kawaida! Na top 4 watakuwepo!! Msimu huu kila timu kubwa imeharibu vibaya, msimu ujao top 4 itajipanga yenyewe!! Kwanza we si mwana-arsenal kweli@mleta uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…