Masikitiko - Mbwana Sammata aendelea kuchomeshwa mahindi Genk .

Kuwekwa pekake au team nzma mkuu...?
 
Mkuu mpira huuwezi unapenda mabadiliko ya haraka sana jikite kwenye siasa hata hivyo samatta anahitaj pongez kuorodheshwa kuwa bench kat ya wachezaj 23 sio jambo rahis.
 
Mkuu mpira huuwezi unapenda mabadiliko ya haraka sana jikite kwenye siasa hata hivyo samatta anahitaj pongez kuorodheshwa kuwa bench kat ya wachezaj 23 sio jambo rahis.
Mbona mnabagua jamani , Manji yuko Yanga pia yuko ccm.
 
We jamaa waga mnafki tu, ata pogba anaanza first eleven ila we unasemaga jamaa hana lolote, na mara nyingi we upo negative tu kwa kila kitu, kukaa benchi kuna maana nyingi, kwahiyo aguero kutokea benchi unamaanisha nolito ni mzuri kuliko aguero?

Samatta anasubil chance yake, kwanza jamaa anaemweka benchi ye ana advantage mbele ya kocha kwani ye alianza kucheza hiyo ligi mapema kabla ya samatta, ila samatta mwanzo wa msimu huu alipata nafasi na katika zile mechi 4 za mwanzo akawa anaongoza kufunga kwa goal 4 ila hatukuona hapa kuanzisha thread kumpongeza ispokuwa unasubil kumnanga tu

Sidhani kama we waga ni mwanaume, utakuwa wa kike tu tena mzaramo au mmakonde, we mtu gani hunaga jema kila kitu kuponda tu
 
Sasa mjomba hapa unalalamika au unalia ? Uzalendo gani huu ? Hivi Pogba ni wa bei ile ya magumashi ya Morinyo ?
 
Ni kweli sahv samatta ana wakati mguu sana scoring yake sahv ipo chini afu anayecheza nafasi yake yupo moto balaa kila siku anatupia
 
Kashaishiwa hana jipya

Wabongo sio watu wa kiwaamini
 
M
Kuwekwa pekake au team nzma mkuu...?
Mbwana Samatta mchezaji wa kulipwa , ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufikiriwa kuwepo ktk line-up ya Genk KRC video game ya ''EA Sports'' ni rekodi pia. Kuna siku atatokea rasmi ktk FIFA video games kama kina Lionel Messi "waukweli". Pia mtanzania kuwepo ktk timu kama mchezaji iliyopo UEFA EUROPA ni hatua kubwa inabidi na wachezaji wengine wafikirie kujiunga na timu "ndogo" kama ya Samatta ili wapate nafasi ya kuendelea kisoka na kiuchumi na kuacha mawazo ya kujiona wao ni ligi ya Real Madrid au Roma wakitoka Yanga au Simba.
 
Endeleeni kumsifia,tutakuja banana Mbagala,,yuko wapi Wilshare,Chadwik et el
 
Huyu nae, kwa hiyo Aguero alivyowekwa benchi UEFA mechi Na Barcelona alikuwa mbovu.?

Wewe endelea tu kumdekia Barabara Lowasa, mambo ya soka waachie wenyewe.!
 
Mwenye roho ya kwanini hashauriki, hapo Hali halali nahisi kuna wakati akimfikiria Samata machozi yanamtoka kwa wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…