Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
Ikiwa mchezaji kama Wayne Rooney, anawekwa benchi iwe timu yake ya ManUTD au Timu ya Taifa lake (England) mpaka aingie kipindi cha pili kutokana na sababu mbalimbali ambazo Kocha anaziona ni chanya kwa mchezo unaopigwa iwe formation au combination n.k.
Pia kocha labda anataka mchezaji apumzike kabisa ili acheze mchezo unaofuta tunaanza kumbeza Mbwana Samatta bila kuelewa sababu za kimkakati za timu ya KRC Genk tunakuwa hatujamfanyia haki mtanzania mwenzetu.
Mchezaji wetu Samatta anaheshimika sana mpaka wanawaza kumuweka ktk EA Sports video Games siyo mchezo hii inaonesha ni mchezaji mzuri mwenye jina ktk Ubelgiji na Europa pia hivyo tuwe watulivu na kumsapoti.
Kuwekwa pekake au team nzma mkuu...?