Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hujanielewa .Timu ya taifa haichaguliwi kufuata uwakilishi wa mikoa
Watanzania ni watu wa kulalama tu na ndo maana wanaonekana ni watu wasio na furaha kila pahala. Ulalamishi ndo kuferi kwao na ni sehemu ya maisha yao, liwe jema watalalama, liwe baya watalalamaTimu ya taifa haichaguliwi kufuata uwakilishi wa mikoa
Nadhani ilikuwa ile miaka kati ya 1994 na 1995Hukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
Uccm wako upeleke jukwaa la siasa , hapa tunajadili ubaguzi wa kisoka .Hivi Chadema mmeumbwa kulalamika?
Na games zao zilipigwa Sheikh Amri Abeid I thoughtNadhani ilikuwa ile miaka kati ya 1994 na 1995
Timu ilikuwa na wachezaji wazuri akina Gasper Lipindo na sekilojo chambua kama sikoei
Sitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
nimefurahi nape alipoingia tu, watu wakamshangilia wanataka kumpa mkono. anapendwa na watu. yule mwingine hakujulikana kama yupo uwanjani hadi nape alipoenda kukaa naye...najua atakuwa amejisikia vibaya sana.Sitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
Bila shaka wewe msukuma.. maana mshazoea kubebwa kwenye vyeo na mtukufu sasa mnataka kutupanda kichwani hadi kwenye soka... Tulia ngoshaSitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
Swali lako sitajibu , ila andiko lako limenipa mzuka wa kufikiria kugombea uongozi TFFMbona hata Timu ya Taifa ya Uingereza Wachezaji wake 85% wanatokea katika Jiji Kuu la London na bado Timu yao inafanya tu vizuri? Muhimu tuwe na Timu nzuri au tuwe na Wachezaji wa kutoka Mikoa yote ya Tanzania kama utakavyo? Halafu naomba nikuulize hivi kwani kuna Sheria au Kanuni yoyote ile inayomtaka Kocha wa Taifa Stars ateue Wachezaji kutoka Klabu zote zilizopo katika Ligi mbalimbali hapa Tanzania?
Niombe radhi mkuu .Bila shaka wewe msukuma.. maana mshazoea kubebwa kwenye vyeo na mtukufu sasa mnataka kutupanda kichwani hadi kwenye soka... Tulia ngosha