Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Mwakyembe hajawahi kuwa na aibu hata mara 1nimefurahi nape alipoingia tu, watu wakamshangilia wanataka kumpa mkono. anapendwa na watu. yule mwingine hakujulikana kama yupo uwanjani hadi nape alipoenda kukaa naye...najua atakuwa amejisikia vibaya sana.