Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Nilijua kafa kumbe madawa 🙌🏾
Pombe huamia kwenye madawa chanzo sio madawa chanzo ni pombe, mlevi yoyote hupenda kupata booster kuboost steam yaan stimulation ziwe juu zaidi ya pale alipo na zipande kwa muda mfupi yaan akigusa tu kalewa ndio hapo anapohama kwenye madawa ndio maana siipendi pombe kabisa kwanza mimi na walevi hatupatani, sio msabato sio mlokole sio mwislamu ila pombe big no
 

Usimlaumu Roma kwa maisha ya huyu bwana mzee. Yeye mwenyewe ana changamoto za maisha yake, huyu mtu mzima na maamuzi yake.
 
Usimlaumu Roma kwa maisha ya huyu bwana mzee. Yeye mwenyewe ana changamoto za maisha yake, huyu mtu mzima na maamuzi yake.
Pombe ndio chanzo, waambieni vijana na wazee wapunguze pombe idadi ya watu waliorukwa na akili inazidi kuongezeka kwa kasi sana
 
Okay 🙌🏾
 
Huenda Roma angekuwa rafiki mzuri, mwenzake asingefikia huku!
Siyo kweli. Uraibu wa madawa usikie tu kwa mwingine. Hata kama ni ndugu yenu mnaweza kumpambania mpaka mkachoka. Roma si ajabu alishajaribu mpaka akachoka.

Anayestahili lawama hapa ni mhusika mwenyewe maana watu wengine hamna mnaloweza kufanya kama mwathirika mwenyewe hajaamua kuacha.

Hata Chid Benz naye likija kutokea la kutokea si ajabu mtaanza kulaumu marafiki zake. Mnataka hao marafiki wafanye nini kama mhusika mwenyewe hasaidiki?

Maisha ni jukumu pekee la mwenye nayo. Kuvisha lawama watu baki ni kukwepa wajibu! 📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…