mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Dula makabilaAta simjui wajomba zangu who is dis?💔 May his soul rest in power
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dula makabilaAta simjui wajomba zangu who is dis?💔 May his soul rest in power
M mkimbiziItakua we mgeni
Chid last time nimemkuta Msasani maandazi road anatoka Kwa sapiaKweli ulichosema mzee wa hiphop
Kama chid alikuwa anajiona yuko mbele
Ova
Hata wa huko mbele huwa wanafulia na kujikuta hohehahe. Niliona mwaka juzi mwanamuziki Sisqo aliyetamba sana miaka ya 2000 mwanzoni anaenda kufanga show Kinshasa tena bila promo ya kutosha.Kweli ulichosema mzee wa hiphop
Kama chid alikuwa anajiona yuko mbele
Ova
Hahahaha, 😆 Mimi pia mkimbizi ila niliingia mjini kitamboM mkimbizi
View: https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza Chid Benz.
Kumbe from?Hahahaha, 😆 Mimi pia mkimbizi ila niliingia mjini kitambo
Central AfricaKumbe from?
Pombe ilikufanyaje mkuu?unaongeleaa pombe gani ??izi izi walizokunywa mababu zetu na kulisha familia zetu hadi kujenga nyumba?Pombe huamia kwenye madawa chanzo sio madawa chanzo ni pombe, mlevi yoyote hupenda kupata booster kuboost steam yaan stimulation ziwe juu zaidi ya pale alipo na zipande kwa muda mfupi yaan akigusa tu kalewa ndio hapo anapohama kwenye madawa ndio maana siipendi pombe kabisa kwanza mimi na walevi hatupatani, sio msabato sio mlokole sio mwislamu ila pombe big no
M from south AfricaCentral Africa
Kuna wakati napiga zangu maji pale pr camp kwa mzee kileoMy young brother Langa, street mate, walichanana
Waoh,safi sana njoo PM tuyajengeM from south Africa
Amna tushajenga nchi tyr inatoshaWaoh,safi sana njoo PM tuyajenge
Langa mtoto wa kishua ujue, unyamwezi ndio umelimzidi ukampoteza , katika madogo wangu wa kitaa Langa alikua bestKuna wakati napiga zangu maji pale pr camp kwa mzee kileo
Nlimuomba mzee kileo amchkue langa,amkeap bize pale pr camp
Maana hali yake ilikuwa mbaya
Kweli mzee kileo alimwambia langa awe anashinda pale kusimamia 1,2,3 ila alikuja kuchemka maana mazingira tena ya kinondoni,but kijana yule alikuwa smart sana kichwani
Sema makundi ....yalimchanganya
Na haya mambo ya kugongea bangi hayafai
Ova
HahahahaAmna tushajenga nchi tyr inatosha
Chanzo cha yote ni Pombe ndio maana mimi naichukia Pombe mpaka siku nazikwa Chini sitokuja kuigusa Pombe
View: https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza Chid Benz.
Mimi namjuwa tokea ile coca colaLanga mtoto wa kishua ujue, unyamwezi ndio umelimzidi ukampoteza , katika madogo wangu wa kitaa Langa alikua best
Ndio kitu kilichofanya nimkubali. Nilipenda style yake na michanoAna stail ya pekeyake kwa koras na rap ya aina yake tofauti