Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Kweli ulichosema mzee wa hiphop
Kama chid alikuwa anajiona yuko mbele

Ova
Hata wa huko mbele huwa wanafulia na kujikuta hohehahe. Niliona mwaka juzi mwanamuziki Sisqo aliyetamba sana miaka ya 2000 mwanzoni anaenda kufanga show Kinshasa tena bila promo ya kutosha.
 
Pombe huamia kwenye madawa chanzo sio madawa chanzo ni pombe, mlevi yoyote hupenda kupata booster kuboost steam yaan stimulation ziwe juu zaidi ya pale alipo na zipande kwa muda mfupi yaan akigusa tu kalewa ndio hapo anapohama kwenye madawa ndio maana siipendi pombe kabisa kwanza mimi na walevi hatupatani, sio msabato sio mlokole sio mwislamu ila pombe big no
Pombe ilikufanyaje mkuu?unaongeleaa pombe gani ??izi izi walizokunywa mababu zetu na kulisha familia zetu hadi kujenga nyumba?
Au kisa mmoja kapotea njia na madawa unafanya conclusion
 
My young brother Langa, street mate, walichanana
Kuna wakati napiga zangu maji pale pr camp kwa mzee kileo
Nlimuomba mzee kileo amchkue langa,amkeap bize pale pr camp
Maana hali yake ilikuwa mbaya
Kweli mzee kileo alimwambia langa awe anashinda pale kusimamia 1,2,3 ila alikuja kuchemka maana mazingira tena ya kinondoni,but kijana yule alikuwa smart sana kichwani
Sema makundi ....yalimchanganya
Na haya mambo ya kugongea bangi hayafai

Langa mtoto wa kishua ujue, unyamwezi ndio umelimzidi ukampoteza , katika madogo wangu wa kitaa Langa alikua best
 
Back
Top Bottom