Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

Mimi namjuwa tokea ile coca cola
Langa alikuwa dogo,adabu tele
Sasa alipotaka kuwa msela ndiyo akapotea

Ova
Ile kawaida tu ktk ukuaji ,yule mnyamwezi wa kuzaliwa hajui shida mpk anakufa, shida zote zakujitakia
 
Chid last time nimemkuta Msasani maandazi road anatoka Kwa sapia
Yuko ghetto na jamaa mmj ashakuwaga konda wangu
Naye mteja...jina lake limentoka
Sema msasani maarufu kdg
Chidy unga anaupenda kama kusaidiwa ashasaidiwa sana
Sema yeye nafsi yake bado kutaka kuacha
Sema watumiaji wa madawa ni watu wa lawama sana

Ova
 
Chid huwa namkimbia , maaana tukionana anaanzaga story za kinyonge na vile nilikua nao karibu enzi zle na Langa
Kuna siku niliona show yake pale Ras Carinyo
 
Ma Legendary wengi wa Muziki wa Bongo, walifanya muziki kama hobby

Hii, iliwafanya wawe na jina kubwa halafu mfukoni, hakuna kitu

Matunda ya kazi zao, wamekuja kunufaika nayo akina Diamond Platinums na WCB yao, baada ya kufanya muziki biashara

Suala la kuwa na jina kubwa, pasipokuwa na hela kumefanya Wakongwe wengi kuingia Kwenye uraibu wa madawa ya kulevya pamoja na Ulevi kupita kiasi

Nafikiri ule mpango wa kuwalipa wasanii kadri redio na tv zinavyopiga nyimbo zao, unaweza kusaidia kuwaondolea stress hawa jamaa
 
Chid huwa namkimbia , maaana tukionana anaanzaga story za kinyonge na vile nilikua nao karibu enzi zle na Langa
Kuna siku niliona show yake pale Ras Carinyo
Watumiaji wa madawa watu wa lawama sana,na hawana shkran hata umfanyie nini!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…