Masikitiko : Yanga kushuka daraja

Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
 
Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu.

- Yanga

- Mashabiki wa Yanga

- Wakulima wa Mbaazi

- Waajiriwa QUALITY GROUP

Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE
 
Ohooooo !!!
 
Si ndivyo alivyotaka Jiwe, Simba itacheza na Katavi Rangers....kila kitu mnaleta siasa hizo ndo athari zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…