mwanajamii mpya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 554
- 445
Mkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watashindwa hata kumpata Jecha awafanyie mambo kweli?
kama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadalaMkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
Sawa bosskama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala
Ohooooo !!!Hapa ndio unaona NGUVU ya MATAJIRI. Kinikia limegusa MANJI kwa VISASI vyake koko tu watu maisha hayaendi kabisa kwa baadhi ya watu.
- Yanga
- Mashabiki wa Yanga
- Wakulima wa Mbaazi
- Waajiriwa QUALITY GROUP
Zee la Vi-Wonder lenyewe busy linatapanya KODI na kina JOKATE
Sio TBL bhanaMkuu, hatuna tena ligi kuu ya Vodacom, ni ya TBL.. Hii ni jinsi gani inaonesha uko mbali na bongo soccer.
Yanga kushuka daraja ni sawa na CCM kushindwa uchaguzi mkuukama kuna marekebisho ni sawa lakini kuhusu Yanga kushuka daraja hakuna mjadala