Lyaka mlima
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 140
- 83
WENGINE NAWASIKIA WAKISEMA NYUDHURU SIJAJUA WANAKUSUDIA MAANA GANI!
Hutumia kimakosa, hapo hukusudia kusema habari za siku lakini siku zilizo nyingi sana kama miezi kadhaa.Naona watu wanatumia neno hili ktk maongezi yao sijajua
Watakuwa wasukuma wanaposalimiana au kuagana.Naona watu wanatumia neno hili ktk maongezi yao sijajua