MASIKU nini maana yake?

MASIKU nini maana yake?

Kinyakyusa icho braza utwa masiku kalumbu
 
WENGINE NAWASIKIA WAKISEMA NYUDHURU SIJAJUA WANAKUSUDIA MAANA GANI!
 
Hapa hukusudia kusema kuna udhuru wa watu wengi. Sasa hutumia nyudhuru kama wingi wa udhuru, jambo ambalo si sahihi.

Neno Udhuru halina wingi badala yake kama watu wengi hawajafika kwa kutoa taarifa basi mtoa taarifa anatakiwa tu kusema kuna wenzetu wengi wametoa udhuru.
WENGINE NAWASIKIA WAKISEMA NYUDHURU SIJAJUA WANAKUSUDIA MAANA GANI!
 
Naona watu wanatumia neno hili ktk maongezi yao sijajua
Hutumia kimakosa, hapo hukusudia kusema habari za siku lakini siku zilizo nyingi sana kama miezi kadhaa.

Kutokana na kutumia tungo za miaka kwa mtu mliyepoteana kwa miaka kadhaa, ndio maana wanatumia za masiku kurejelea siku nyingi.

Uhalisia ni "za siku" hata kama ni muda mrefu kiasi gani.
 
Back
Top Bottom