Masilahi Na Mifuko Ya Fedha

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
Habari Wana JF

Ndani Ya KATIBA PENDEKEZWA Nimeona Sana Sehemu Nyingi Zinazoelezea MASILAHI YA WAKUU NA MIFUKO YAO ...

Sasa Me Najiuliza Kitu Kimoja Kwamba Yani Kweli Pamoja Na Nchi Yetu Kuwa Na SOURCES OF MONEY Nyiiingi Kama Vile MBUGA ZA WANYAMA Na Sehemu Za Kuchimba Madini Ambazo Daily Zinaingiza Pesa Wameshindwa Hata Kuweka MFUKO WA JAMII?

Japokua Kweli Kuna IBARA Zinazozungumzia Haki Za Binadamu Na Elimu Bora BUT Nina Uhakika For 100% Serikali Yetu Hainaga Kitu Kinachoitwa UTEKELEZAJI.

Kwa Mfano ALBINO Wanachinjwa Daily Na Hakuna Hatua Yeyote Inayochukuliwa Kama ULINZI .....

Pia Kuna Sehemu Zinazozungumzia Njia Zinatakazochukuliwa Kwa Kiongozi Atakaeshiriki Kwenye RUSHWA ...Hapa Naomba Tukumbuke Matukio Ya Huko Nyuma Kama EPA, RICHMOND, ESCROW and Others
Wahusika Waliohusika Hapo Haikuchukuliwa HATUA Zinazofaa Zaidi Ya Kuombwa Kuachia Ngazi (Tibaijuka) Hivi Kweli Mwizi na Mfilisi Aombwe Aachie Ngazi? Na Wengne KUJIUZULU Hiyo Ndo Hatua Kweli Kwa Serikali Yetu?

Kwa Mtindo Huo RUSHWA na UWIZI Ndani Ya Viongozi Wetu Haitaisha Kamwe Maana Kwa Mfano Me Nikichaguliwa Then Nipangiwe Sehemu Flani Nyeti Nikiziotea Naiba THEN Najiuzulu ......

Me Nadhani Ingekua Bora Kama Hii Katiba Ingeelezea Hatua Sahihi Ya Hawa Waizi Ndani Ya Serikali Yetu

Na Kwa Sababu tumepewa Mamlaka ya kuwachagua tupewe pia na Mamlaka kuwaadabisha.

Tanzania + Viongozi Wetu = SIRIKALI
 
Ndo manaa hii katiba inayopendekezwa imevunja mzizi wa fitina ktk mambo hayo. Imekuja kutatua hizo kero.
 

Huo kweli ulikuwa udhaifu kwenye katiba ya 1977 haikuweka njia nzuri za kupambana na mambo haya ila kwasasa hivi hadi TAKUKURU wametqmbulika kikatiba hivyo sidhani kama atapona mtu....kingine kwa katiba hii ukisoma ibara ya 65 yote na vifungu vyake utakundua nini serikali inataka kukitekeleza kwa wananchi as far as Haki zao zilivyoorodheshwa....nashukuru kaka unaisoma katiba hii incomparison na ile ya 77 kikubwa jitahidi kuendelea kuipitia vizuri zaidi utagundua mambo mengi sana ya msingi kwa maslah ya taifa
 
Hakuna cha katiba mpya wala nini, kama serikzli ni corrupt ni corrupt tu. Hata hiyo katiba ikivalishw acover ya dhahabu ni ujinga tu. Hatuna serikali imara ya kusimamia sheria
 
Hakuna cha katiba mpya wala nini, kama serikzli ni corrupt ni corrupt tu. Hata hiyo katiba ikivalishw acover ya dhahabu ni ujinga tu. Hatuna serikali imara ya kusimamia sheria

Wewe utakuwa si Mtanzania halisi bali mkimbizi au mharamia humu nchini, huwezi mkukosa uzalendo kiac hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…