Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Nimejikuta nimecheka peke yangu mbele za watu! Mada zingine inabidi ujitoe akili kwanza!
 
Hilo nimeliexpiliensi Mkuu kwenye mwendo kasi hasa mida ya kurudi kazini ukiwa chini ya siti wao wamesimama karibu harufu ya choo lazima ivume ndio nimepata majibu Leo.
 
Ushamba wako tu! Kuna watu hawajawai tumia maji tokea wazaliwe na bado hawaumwi! Ni utamaduni wa nje huo...
Ptuuuu utamaduni gan huo? Huo ni uchaf c utamaduni, kingine unaweza ukawa unaumwa lakin usijue kama unaumwa aisee
 
Ptuuuu utamaduni gan huo? Huo ni uchaf c utamaduni, kingine unaweza ukawa unaumwa lakin usijue kama unaumwa aisee
Kweli tena! Huo ni utamaduni wao... Nilifanikiwa kusoma shule moja nikakutana na watoto wakishua... Yaani hawawezi tumia maji kujisafisha! Tena wakawa wanatuona sie tunaotumia maji ni wachafu, eti tutaahikaje vinyesi vyetu wenyewe?! Kuna mmoja ndo akasema tokea azaliwe hajawai jitawaza na maji baada ya kujisaidia, iwe haja kubwa au ndogo
 

Una matatizo na ujielewi ... ni sawa na tissue tu, sema ni wet
 
Kwa hiyo na ww ndo umeamua kuiga huo utamaduni, na kuamua kuita wenzio washamba et, sio kila kitu cha kuiga aisee, kwa hiyo hata nguo zao zikichafuka hutumia tishu kuzisafisha au n nn, maana maji ndio kiini kikuu cha usafi, ilitakiwa na ww uwashangae kuwa usipotumia maji hujisafishi vizur lazima tu utakuwa na harufu mbaya huko chini , ungewaeleza tishu ni kwa ajili ya kuondoa unyevu nyevu tu baada ya kutumia maji safi na salama , sio unaiga hadi upuuzi ,
 
Sio upuuzi bana! Mimi nikiwa nazo natumia... Zisipokuwepo maji yananihusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…