Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔
1. Maisha sio vita
2. Maisha ndio haya haya tu
3. Pesa hainunui furaha.
4. Utajiri ni dhambi.
5. Kila tajiri ana ushirikina.
6. Pesa sio kila kitu.
7. Mapenzi ni upendo pesa ni ziada tu
8. Utajiri unatesa sana bora hata usiwe na pesa.
9. Hata matajiri watakufa.
10. Mbinguni hakuna cha tajiri wala maskini
Umaskini haufai hivyo ukiwa maskini na ukawa na misemo hii ni tosha kuwa umemaua kuukubali na kweli utakutesa.
Hakuna cha maisha ndio haya haya kuna mazuri zaidi ya hayo acha tu kujifariji kwa misemo kandamizi
#mwanasayansi saul kalivubha
#mitandaoni fikia ndoto zako