Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Naomba kuuliza umaskini unaanzia umri gani? Yani mtu ukifikisha umri gani na akawa bado hajiwezi katika mahitaji yake muhimu anaqualify kuitwa maskini.
Ikiwa na maana gani mtoto wa miaka 9 anaeishi kwao hatuwezi kumuita maskini ila kwakua Mpwayungu Village mwenye miaka 46 anaeshi kwa shemeji yake pale Isunga chupi tunamuita maskini ( natania 😂🤣) .
Swali ni je maskini anaanzia umri gani? Kama ni 18 kama Mtu mzima tujue....
Bado nachukua darasa la uandishi