Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Maskini Baba Diamond, azidiwa ghafla

Hata sisi wote! mimi sitaki kumuhukumu Diamond wala Baba yake, sababu na kuna cha ufa baina yao wanazijua wao, ila sisi wengine tutafakari na tujipime tungefanya nini kama hali hii ingetukuta sisi? Je ningefunga macho, masikio na mdomo na kupandisha vioo tukanyamaza au tungejiongeza tukasamehe na kusonga mbele?! Maana No situation is parmanent; leo Diamond yuko hivi, rich and famous! je kesho tunajua Diamond atakuwaje?
Sitaki kukataa kwa hayo uyasemayo mkuu.
Lakini ebu tujaribu kulitazama hili la Diamond kwa upana na katika ngazi ya kifamilia.
Pili tusiwe wepesi wa kumlaumu Diamond kwamba hajamsamehe baba yake.
1- Kwani nani ajuaye kwamba Diamond hampi baba yake msaada?
2- Je uliwahi kusikia tuhuma za kwamba mzee ni mtumiaji mzuri wa vilevi na totoz kila pale anapo pewa pesa?
3- Je uliwahi kusikia Diamond akisema hampendi au ana uadui na baba yake?
4- Je uliawahi kusikia baba wa Diamond akisema kosa alilo mkosea mwanae hata aombe kusamehewa na mwanae?
5- Je uliwahi sikia baba wa Diamond akimtaja Queen Darlin kwamba hamsaidii pia?
6- Je kwanini baba Diamond anakimbilia kwenye media kujieleza au kutaka kuzungumzia mambo ya kifamilia kwa kujifanya yeye anaonewa au yeye ni msafi?
7- Je kila akiugua na kwenda hospital waandishi wa magazeti ya shigongo huota ndoto na kumfuata huko ili wamchukue picha?

Mwisho naomba niseme kwamba hapa hakuna la kujifunza kupitia huyu baba wa Diamond. Na ninaweza sema kwamba mzee anatumika na Shigongo ili kutengeneza habari.
Pia kwa baba mwenye hekima na busara hawezi kwenda tatua matatizo ya kifamilia kwenye media.[emoji135] [emoji135] [emoji135]
 
Nakiri sijui lolote kati ya hayo uliyoainisha! Wala sitahukumu au kulaani yoyote baina ya wawili hao! Hoja yangu ni je mimi kama ningekuwa Diamond na maisha yangu yakigubikwa na hadithi zisizioisha kama hizo ambazo kwa kiwango chochote hazipendezi wala kufurahisha hata kidogo, je ningefanya nini?! Ndio somo au tafakuri ninayotaka tuibebe hapa! Jambo likisemwasemwa au kujirudiarudia mara kwa mara bila kukanhshwa au kuitikiwa na wahusika ni rahisi watu kuliamini kuwa ni kweli na wala hakuitajiki kufanya utafiti wowote wa ziada maana wahenga wanasema lisemwalo lipo na kama halipo lisubiri laja! Na katika hali kama hiyo huwezi kumzuia binadamu aliyechungulia fursa katika sintofahamu hiyo kuchukua hatua anufaike! Nionavyo hawa wawili, baba na mwanae wametengeneza tamthilia ambayo wajasiriamali wamechungulia fursa, wasilaumiwe pia wala kuhukumiwa kama tunavyosema kuhusu wabunifu wa Tamthilia yenyewe; Baba na Mwana Diamond!!!!
 
Hujui magazet wanamtumia huyu mzee ili yapate soko km uliangalia cloudstv kwenye kpnd cha Dwnkd show aliojiwa na kusema kla anachotaka diamond anampa
 
Laana inaenda sambamba na majukumu, kama ulikubali majukumu yako basi ukitoa laana huwa inafika kwa muhusika lkn kama hukuwajibika, hata uvue nguo laana haita mfikia, watoto waliokataliwa na baba zao mara nyingi mungu huwaaga anasikia kilio cha yule mama aliyeachwa na mtoto na huwaga na nyota kali sana na ndio maana wakitusua wanatusua haswa.
 
Huyu jamaa akili zake mbovu. Halafu sio mzee wala nini, usela tu na pombe chafu ndio maana anaonekana kachoka.
 
Baba ni baba hata kama mabaya mangapi amekutendea, Omba msamaha hapo ndipo utajua nguvu ya msamaha,mangapi tunamkosea mungu na tunafanya toba na kusamehewa. Kama kijana anatambua mchango wa Mzazi arudi aombe msamaha hata kama hakutenda kosa, tambua what's goes around comes around.
 
Kwani Diamond amemkana mzee wake?

Hivi huyu Diamond angekua bado yupo KKoo anauza mitumba huyu mzee angerudi kusema huyu ni mwanaume

I hate them sperm donors
 
Kwani uyu mzee mtoto wake mi diamond tu. Kwann wasiandike baba wa Queen Dareen azidiwa. Wababa wanajitenga sana na watoto n Mungu hua wa ajabu watoto wa kutengwa hua wanafanikiwa mno. Hlf baadae wana play kua ni victim.
Ugua pole mzee lkn huo ni uchonganishi wa kwenda na waandshi wa habari hosptalini km sio kutaka kumchafulia Diamond ni nn.
Unaona mbali ww.. Na mm nlitaka kuulza baba Queen ni yupi
 
Team dangote/simba/diamond mko wapi kumshauli domo aache uboya??
Halafu mambo kama hayaapo mnayafumbia macho badala yake mnaanza kutumia account zenu kutukana kingk wetu... Tumieni hzo account zenu za team diamond kumlekebisha ..fa...LA ze..nu
 
mwanzoni akianza na nyimbo zake zileeee tusimuone magazetini maana miguu haijamuanza leo! asimtie mtoto nuksi ale hukohuko alikopeleka mboga
 
usiangalie matokeo angalia na sababu ya matokeo pia...hawa wazee waliokula ujana enzi zao na kuwaacha watoto wao wakiteseka na mama zao huwaga siwaonei huruma kabisa.

Mimi pia yamenikuta kama hayo..naumwa nimelazwa Amana hospital na bi.mkubwa alikila pembeni uangu hana kitu baba yangu mzazi anashindana kuwatunza hela wakina Tx Moshi na Maalim Gurumo pale Amana Vijana center

Mkuu pole sana. Wengi yametukuta hayo lkn tumemuachia Mungu yeye ndiye atakayehukumu. Cha muhimu sisi tuwapende wanetu na tusiwatendee mambo haya mabaya.
 
Back
Top Bottom