Maskini Banza Stone!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Hali ya Msanii Banza Stone yaelezwa ni mbaya,kwa sasa yupo nyumbani kwake maeneo ya Sinza Vatican akijiuguza,wadau na wapenzi wa Msanii huyu wamsaidie apate mshauri kwani amekata tamaa,huku akiwa ametemwa na Band ya Extra Bongo!
 
Kuna makala iliandikwa na edo 'diamond na ngasa nao watalia?' ngasa ameshaanza kulia kuomba michango.mastaa wetu hawaweki akiba kwa maisha yao ya bdae
 
Banza nae ni mmoja wa manyoka,pengine ndo athari zinajitokeza sasa,pole yake.
 
"Tabia za Muke huyu,
Zilianza toka Kitambo,
Mume alivumilia na kula Mapochopocho,

Kwa Shingo upande yoyo Masikini,
Ndipo siku hiyo bwana, kabwaga manyanga chini,
Na kumtafuta Mpemba, Mpemba kakimbia,
Masikini
 
Banza ndio Legend wa muziki wa dansi mzalendo wa zama hizi hakuna msanii yeyote mzalendo anayemfikia.
Nadhani wadau wa muziki wanapaswa kujua nini hasa cha kumsaidia huyu Legend.
 
Kweli malipo ni hapa duniani yani badala ya kufarijiwa ndio kwanza anadhihakiwa humu,jamani tujitahidi Tufanye wema ili tukumbukwe kwa wema.
 
michango ya nini mkuu?

ngasa anaomba michango kwani hela zote amewalipa simba na nyingne alirecord muvie ya x na mdogo ake frola mbasha ila mdosi kakataa kununua kwani demu ni chini ya kiwango.so msaidieni mrisho!
 
Banza ndio Legend wa muziki wa dansi mzalendo wa zama hizi hakuna msanii yeyote mzalendo anayemfikia.
Nadhani wadau wa muziki wanapaswa kujua nini hasa cha kumsaidia huyu Legend.

Unajua maanaa ya uzalendo? Banza ni mzalendo kwa lipi?



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unajua maanaa ya uzalendo? Banza ni mzalendo kwa lipi?



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unajua historia ya muziki wa dansi?Unajua jinsi wakongo walivyokuja na kuteka soko kabla miaka ya tisini banza akiwa na African stars band (pengine kwa umri wako nikisema Twanga pepeta utaelewa) kurudisha heshima ya watanzania? pengine unafikiri wazalendo ni wanasiasa na askari wanaofia vitani!!
 
Unajua maanaa ya uzalendo? Banza ni mzalendo kwa lipi?


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Uzalendo wa kula sembe na kuwatajirisha madon wa sembe akina mheshimiwa anayekaa Magomeni,mtoto wa kishua wa pale Victoria yaani yule nusu mzungu wa kindenge mwanae babu ,kigogo wa Chama cha wana Magamba
 

Hahaha unachekesha balaa. Kwa hiyo huo ndio uzalendo?
 
Kweli ubinadamu kazi.........na haswa ukiwa m bongo, yaani hata kutoa maneno ya faraja inakuwa nongwa achilia mbali michango japo ya kumtibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…