Maskini Dokta Shika ugonjwa umechachamaa pesa hana

uko very wrong ugonjwa wa figo unasababishwa na sukari na presha pia kinga yako ya mwili inaweza shambulia figo yako ikashindwa fanya kazi hayo mambo ya kusema anasa zinachangia figo na myth tu,.
 
Duh
Nnavyo zitwanga nyagi tena

Ova
 
Sikia tu kwa jirani ama mitandaoni.ila afya ikitetereka future yako inaanza kuloose hata kama unauhakika wa matibabu.sembuse dr.Shika ambae amekosa hizo mil 50 za matibabu.
 
uko very wrong ugonjwa wa figo unasababishwa na sukari na presha pia kinga yako ya mwili inaweza shambulia figo yako ikashindwa fanya kazi hayo mambo ya kusema anasa zinachangia figo na myth tu,.
Nimegeneralize viungo vyote nilivyotaja hapo.Mara nyingi anasa na kutofuata kanuni za afya ndo husababisha hayo.Halafu jua fika hata uvutaji wa sigara na uzito kupita kiasi huweza kusababisha ugonjwa wa figo pia.
Sio wote wanaopata ugonjwa wana either kisukari au pressure. Wengine hawana hayo.Ndo maana pia kuna aya nimesisitiza upimaji wa haya magonjwa ya viungo vya ndani pale unapokaribia umri wa uzee.
 
Dah!
Pole sana Dr.Shika.
Kiukweli ukiangalia hiyo hali ya Ugonjwa+Umaskini unaomzunguka kwa sasa Dr.Shika unaweza kujua kinachofuata.....
Hapo kutoboa labda Mungu ashuke tu mwenyewe. Sorry to say so.

Ushauri wangu kwa watu waliopo karibu naye kwa sasa, ni vizuri pia wakamsaidia kutengeneza maisha yake na Mungu. Huku mambo mengine ya tiba yakiendelea.
 
Ukiwa under 30yrs unaweza ‘azima’ figo kwa ndugu au jamaa, lakini kwa umri wa dr. Shika hili la kuazima figo ni mtihani
Siyo kweli
Wapo waloazimwa Figo wakiwa over 60 nawafahamu wanadunda mitaani
Tatizo unatibiwa wapi siyo Bongo. Sheila ana 50 alipata Tiba Sahihi ya transplant atapona. Amezaliwa 1969
 
Kifo ni hatima ya kila kinachoishi.

Tunajilisha upepo tu na mambo mengi na kuhangaika na dunia..... Lakini kifo ndicho kitu halisi kuliko vitu vingine vyovyote.

Mia tisa itapendeza ndio kwisha kazi hapo!

Muhubiri alisema "mambo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatumika mkuu, pia kumbuka bima zipo za aina nyingi, bongo ukisema bima wanajua umezungumzia NHIF tu

Bima yenye package ya figo.. bei yake ni kubwa sana... ndio maana hata ruge alichangisha hela
 
Asante pesa...thanks money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…