pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Hatimae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye nini?Hatimae
Ni natumia NHIF, Hawa jamaa tunawalaumu sana humu. Lakini baada ya kupata ili tatizo katika familia wamekuwa ndio msaada kwangu. Nawashukuru sana NHIFAna bima ya aina gani na ni bei gani?
Mnadanganyana sana mtaani anyway clotting kutokea during dialysis znatokea sana lkn sio kupelekwa nairobiDialysis sio mchezo kama huna pesa you are Gone. Kina jamaa zangu mama yao alikuwa na hilo tatizo uzuri walikuwa na pesa waliinunua hiyo machine akawa anafanyiwa na madaktari nyumbani. Kuna siku ilitokea issue ya clotting mechanism kugoma ilibidi akodiwe ndege haraka kupelekwa Nairobi Kenya.
Usiombe hiyo kitu haswa wale wapiga faru John nk