MASKINI: Dr. Slaa amesahaulika kabisa

alijaribu kupingana na mabadiliko nafikiri kashapata majibu tayari.
 
Slaa aliandika historia kwa daftari na kalamu ya penseli, watoto wamepita na kifuto wakaifuta,
 
Hivi Mr and Mrs Mihogo watarudi Bongo kuja kutekeleza haki zao kikatiba ya kupiga kura? Kama hawakurudi basi CCM tayari wamepoteza kura hapo!
 
Amekumbwa na mfadhaiko tangu afukuzwe na mchumba wake usiku wa manane na kuamua kulala kwwnye gaei
 

Duuuh! Yaani wewe ndio umenikumbusha huyu Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…