Maskini hawakujuaaaaaaaaaaaa

Poleni sana , nashauri waendelee kulea mimba then ndoa hapo hakuna namna nyingine, ukimwi noma bora tu wasonge mbele hivyo hivyo !
 
Poleni vijana.

LA VIE EST DIFFICILE LA-BAS.
[TABLE="class: Corpus"]
[TR="class: Headerrow"]
[TD="class: Headerarea"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Poleni sana kijan na bintikatika suala kama hilo.

kuna umuhimu wa kulaumu kidogo wazazi kwa kutowapa watoto wao at least background ya vizazi angalau viwili au vitatu nyuma. ngewasaidia kidogo. Nadhani haya ni mambo ya msingi ambayo watu wanaoanza mahusiano huwa wanayazingatia. Naamini wagelijua hilo na kwa sababu ya utamaduni wao wa kichaga hawangefanya hivyo.

Hata hivyo kwa ufahamu wangu mdogo hapa tz ndoa za mtu na binamu yake zinafanyika kama wana jf wengi walivyotangulia kusema. i was not aware about it in the chaga land.

Hata katika zama za biblia mzee Yakobo alioa mabinti wawili watoto wa mjomba wake Laban (Lea na Rachel). Mzee yakobo alilazimika kumtumikia mjomba kwa muda wa miaka saba kama mahali kwa kila binamu.

sisemi kwamba jambo hili linakubalika lakini nasema siyo zito la kulipotezea usingizi.

kabla sijaendelea ni wakristo au waislamu?
 
kama ni wakristo warejee maandiko yao wapate busara za humo pia. especially kumbukumbu latorati 27:13-26
 
Wapwa habari za leo. Tulizika salama salmin.
Vikao kadhaa vimekaa kuhusu hawa vijana wawili. Siku ya jana ilikuwa ya vikao pande zote.
Upande wa kijana hataki kusikia kabisa kuwa haruhusiwi kumwoa huyu binti. Amekataa kwa madai anampenda sana huyu binti kiasi kwamba kuachana naye kunaweza kuathiri utendaji wake na hata mustakabali wa maisha yake. Anadai ana ndoto nyingi sana kuhusu familia yake. Anadai kuwa anajua kuwa sio rahisi huyu binti aaache kuolewa na mtu mwingine (anavyodhani) hivyo asingependa kuona mwanae analelewa na baba mwingine. Mwisho akapigia msumari kuwa yuko tayari kwa chochote lakini kuachana na binti hawezi.
Upande wa binti wao wako vuguvugu. Wamemwachia binti aamue. Binti amekuwa bubu hajasema msimamo wake mpaka sasa ingawa yuko depressed sana.
Pande zote zimekubaliana kuwa kwa sasa wawaache hawa vijana walee kwanza mimba mpaka pale huyu binti atakapojifungua. Wazazi wanaamini kuendelea kulishupalia hili suala linaweza kuleta madhara na mimba ya huyu binti kuharibika.
 

Ewe eeka mangi mbon nyei nya dede?kwekio kijana nyalesemba nfamaaye?
 
Asante mangi kwa kutuletea updates.
Haya mambo siyo mara ya kwanza kuyasikia kwa hawa marafiki wawili.
Kwa hili naomba nirudi kwenye msimamo wangu wa leo asubuhi kwamba sio la kulipotezea usingizi.
Niwaongezee maandiko kidogo ya biblia ambayo yanatuwekea mipaka katika familia zetu juu ya mambo ya ndoa au kufunuana tupu. Nayo ni ya kitabu cha Mambo ya Walawi 18:6-23. Kwa machache hayo nilipitia naona hakuna mahali anatajwa binamu kuwa mtu ambaye hatuwezi kumuoa.
Kwa kisa kizima na kwa upeo wangu mdogo nashauri hao vijana waendelee hata milele. Mwenyezi Mungu anisamehe pale ambapo nitakuwa nimeshauri kinyume na matakwa yake. Amen!
 
Ewe eeka mangi mbon nyei nya dede?kwekio kijana nyalesemba nfamaaye?

Arawa deda mboong'uo wandu walesye! Ya kuda kiwa ndeyako. Kindo kya dede kuchu. Kolola muna eto okika nooriwe kumira made. Kimuna kicha deeya tata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…