jamiiyamtimkavu
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 274
- 192
TFF walikupenda....Ila Ally Hilal wamefika dau....REST IN PEACE YANGA....SISI TULIKUPENDA LAKINI WAARABU WALIKUPENDA ZAIDI.....
Wee Tulia Dawa Ikuingie Vizuri, Kwani Si Siku Chache Tu Humu Mlikuwa Mkiwaponda Wapenzi, Washabiki Na Wanachama Wa Simba, Kuwa Ni Timu Ya Mchangani (NDONDO) Tu!! Pia Labda Ulikuwa Haujawa Na Akili Na Ufahamu, Wkt Ule Simba Walipocheza Na TP Mazembe Uwanja Wa Taifa Pale Pale, Washabiki, Wapenzi Na Wanachama Wa Yanga Walinunua Magauni Na Blauzi Za TP Mazembe Na Kuishangilia Mwanzo Mwisho Na Kufurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Ule!!! Kwa Taarifa Yako Ww Na Wenzio Msiojua Utani Na Upinzani Wa Jadi Wa Klabu Hizi, Hakuna Hata Siku 1 Yanga Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Simba!! Ama Simba Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Yanga!!! Au Wavae Mavazi Ama Jezi Za Upande Mwingine!!! Hilo Haliwezekani Abadani!!Hayo Ndio Matokeo Ya Nyodo, Ngebe, Kashfa, Dharau, Maneno Ya Shombo Na Kujikweza Kwenu, Mkiongozwa Na Mpiga Debe Wenu, Kwa Kujidanganya Kuwa Eti Yanga Ni Ya Kimataifa, Yaani Level Ya Akina TP Mazembe!! Sasa Chezeni Na Hao Wakimataifa Wenzenu, Mnalialia Nini!!!!?Watu wengine utafikiri hawana akili timamu? Ina maana wewe hayo matokeo yamekufurahisha sana
Tena Jerry Murro Ndio Kinara Wakiwatusi Watu Wanaopinga Wao Kukaa Tu Bila Ya Kucheza Mechi, Eti Kwanini Wanawashwa Kwa Timu Yao Kupewa Mapumziko Marefu!! Wawaache Wao Ni Wakimataifa Bhana, Tena Ikiwezekana WAJITOE Kucheza Ligi Kwa Muda, Ili Waweke Mkazo Ktk Michezo Ya Klabu Bingwa!! Bahati Mbaya Na Afisa Mtendaji Mkuu Wa AZAM, Saad Kawemba Naye Akaingia Ktk Ujinga Huo Pia Na Kuanza Kutoa Maneno Ya Shombo Kwa Wanaopinga Kwao Kubakia Na Michezo Mingi Ya Viporo!!! Matokeo Yake Ameanza Kuyaona Viporo Vimechacha!!! Na Wao Mwisho Umewadia Kuanzia Leo Na Mwisho Ni Tunisia, Waje TUKUTANE Ktk Ligi Yetu Ya MIPANGO Tu!!!!Walicheza UPUPU sana. Walionekana kukosa mipango, na wachovu mno..!
Ndo mjifunze Professional football. Haiwezekani, eti muombe kupumzika wiki mbili mje muifunge timu inayocheza kila wiki?!
Ulaya, kwa wiki wanacheza mpaka game 3. Nyie, mnaona raha kulala siku 7, hamjui inawaathiri wachezaji.
Kwa mfano; Hamis Tambwe hakuwa kwenye game kabisa. Wapeni wachezaji wacheze at least game 2 kwa wiki. Inawajengea kujiamini, na kusahihisha makosa.
Mtoto akililia wembe tunampa umkate. Na wiki hii pumzikeni siku 7 kabla ya game ya Misri muone mtapigwa ngapi huko!!!
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia lawama waamuzi eti kwanini wameipendelea timu ya misri kinyume chake walitakiwa waipendelee Yanga.Kama haitoshi Mh.Murro akawatupia lawama mashabiki wa Simba Kwa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu kama walivyovaa All ahal .Tunamwulisha Mh.Murro alitaka hao mashabiki wavaa rangi ya kijani Na njano?Mh. Murro ukituambia Yanga ni timu ya Kimataifa Leo imekuwaje mbona imecheza mpira wa kichangani? Viongozi wa Yanga hao waamuzi ni Afrika tatizo mmezoea waamuzi wa bongo ambao TFF inawapa maagizo wawapendelee.Yanga Mpira huchezwa uwanjani sio magazeti waini kulala.
Matokeo ya jana binafsi yamenihudhunisha sana,sababu nilitegemea Yanga apigwe 3 mtungi.Watu wengine utafikiri hawana akili timamu? Ina maana wewe hayo matokeo yamekufurahisha sana
Duh...Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia lawama waamuzi eti kwanini wameipendelea timu ya misri kinyume chake walitakiwa waipendelee Yanga.Kama haitoshi Mh.Murro akawatupia lawama mashabiki wa Simba Kwa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu kama walivyovaa All ahal .Tunamwulisha Mh.Murro alitaka hao mashabiki wavaa rangi ya kijani Na njano?Mh. Murro ukituambia Yanga ni timu ya Kimataifa Leo imekuwaje mbona imecheza mpira wa kichangani? Viongozi wa Yanga hao waamuzi ni Afrika tatizo mmezoea waamuzi wa bongo ambao TFF inawapa maagizo wawapendelee.Yanga Mpira huchezwa uwanjani sio magazeti waini kulala.
Hayo magoli anafunga nani? Hivi jana goli la yanga alifunga nani? tambwe alikuwepo?Duh...
Simba mna tabu kwelikweli...
Hv Yanga wangefungwa ingekuwaje?...
Kwenye mpira wetu wa sasa lolote laweza tokea..Yanga wanaweza kwenda Misri na bado wakatoka sare ya 1-1 ama 2-2...Na wanaweza wakashinda...Zama zimebadilika...
Halafu..Ieleweke kwamba Yanga wakitolewa wanaenda confederation cup...Wanaendelea kuwa 'wa Kimataifa'...
Waacheni! Ndo tatizo la watu wasiojua mpira kuwa viongozi.Tena Jerry Murro Ndio Kinara Wakiwatusi Watu Wanaopinga Wao Kukaa Tu Bila Ya Kucheza Mechi, Eti Kwanini Wanawashwa Kwa Timu Yao Kupewa Mapumziko Marefu!! Wawaache Wao Ni Wakimataifa Bhana, Tena Ikiwezekana WAJITOE Kucheza Ligi Kwa Muda, Ili Waweke Mkazo Ktk Michezo Ya Klabu Bingwa!! Bahati Mbaya Na Afisa Mtendaji Mkuu Wa AZAM, Saad Kawemba Naye Akaingia Ktk Ujinga Huo Pia Na Kuanza Kutoa Maneno Ya Shombo Kwa Wanaopinga Kwao Kubakia Na Michezo Mingi Ya Viporo!!! Matokeo Yake Ameanza Kuyaona Viporo Vimechacha!!! Na Wao Mwisho Umewadia Kuanzia Leo Na Mwisho Ni Tunisia, Waje TUKUTANE Ktk Ligi Yetu Ya MIPANGO Tu!!!!
Si Mwanasimba Ww, Ungekuwa Unajua Kila Kitu Kinachoihusu Klabu Yako!!! Ila Kwa Vile Umepewa Uzuzu Na Jerry Murro, Kwa Kudanganywa Kuwa Timu Yenu Ni Ya Kimataifa, Hivyo Mtawafunga Tu Wamisri Wale!! Tusidanganywe Na Viongozi Wetu Wapiga Dili, Soka La Bongo Liko Underground Mno Na Limestaki Tu!!! Eti Yanga Iitwe Ya Kimataifa, Pumbavuuu!!! Na TP Mazembe Watajiita Vp!!!!??Wanasimba lini sisi tunacheza na cc na mara ya mwisho tulicheza lini matokeo yalikuaje na hatua gani tulifia na tulicheza na nani naombeni mwongozo wanasimba wenzangu
Mkuu tuongee ukweli.Duh...
Simba mna tabu kwelikweli...
Hv Yanga wangefungwa ingekuwaje?...
Kwenye mpira wetu wa sasa lolote laweza tokea..Yanga wanaweza kwenda Misri na bado wakatoka sare ya 1-1 ama 2-2...Na wanaweza wakashinda...Zama zimebadilika...
Halafu..Ieleweke kwamba Yanga wakitolewa wanaenda confederation cup...Wanaendelea kuwa 'wa Kimataifa'...
Hili swali kamuulize mulo kucheza wacheze yanga All hillaly Simba imeingiaje.Wanasimba lini sisi tunacheza na cc na mara ya mwisho tulicheza lini matokeo yalikuaje na hatua gani tulifia na tulicheza na nani naombeni mwongozo wanasimba wenzangu