Maskini Jerry Muro droo ya Al Ahal yamrusha akili

Maskini Jerry Muro droo ya Al Ahal yamrusha akili

Watu wengine utafikiri hawana akili timamu? Ina maana wewe hayo matokeo yamekufurahisha sana
Wee Tulia Dawa Ikuingie Vizuri, Kwani Si Siku Chache Tu Humu Mlikuwa Mkiwaponda Wapenzi, Washabiki Na Wanachama Wa Simba, Kuwa Ni Timu Ya Mchangani (NDONDO) Tu!! Pia Labda Ulikuwa Haujawa Na Akili Na Ufahamu, Wkt Ule Simba Walipocheza Na TP Mazembe Uwanja Wa Taifa Pale Pale, Washabiki, Wapenzi Na Wanachama Wa Yanga Walinunua Magauni Na Blauzi Za TP Mazembe Na Kuishangilia Mwanzo Mwisho Na Kufurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Ule!!! Kwa Taarifa Yako Ww Na Wenzio Msiojua Utani Na Upinzani Wa Jadi Wa Klabu Hizi, Hakuna Hata Siku 1 Yanga Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Simba!! Ama Simba Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Yanga!!! Au Wavae Mavazi Ama Jezi Za Upande Mwingine!!! Hilo Haliwezekani Abadani!!Hayo Ndio Matokeo Ya Nyodo, Ngebe, Kashfa, Dharau, Maneno Ya Shombo Na Kujikweza Kwenu, Mkiongozwa Na Mpiga Debe Wenu, Kwa Kujidanganya Kuwa Eti Yanga Ni Ya Kimataifa, Yaani Level Ya Akina TP Mazembe!! Sasa Chezeni Na Hao Wakimataifa Wenzenu, Mnalialia Nini!!!!?
 
Walicheza UPUPU sana. Walionekana kukosa mipango, na wachovu mno..!

Ndo mjifunze Professional football. Haiwezekani, eti muombe kupumzika wiki mbili mje muifunge timu inayocheza kila wiki?!

Ulaya, kwa wiki wanacheza mpaka game 3. Nyie, mnaona raha kulala siku 7, hamjui inawaathiri wachezaji.

Kwa mfano; Hamis Tambwe hakuwa kwenye game kabisa. Wapeni wachezaji wacheze at least game 2 kwa wiki. Inawajengea kujiamini, na kusahihisha makosa.

Mtoto akililia wembe tunampa umkate. Na wiki hii pumzikeni siku 7 kabla ya game ya Misri muone mtapigwa ngapi huko!!!
Tena Jerry Murro Ndio Kinara Wakiwatusi Watu Wanaopinga Wao Kukaa Tu Bila Ya Kucheza Mechi, Eti Kwanini Wanawashwa Kwa Timu Yao Kupewa Mapumziko Marefu!! Wawaache Wao Ni Wakimataifa Bhana, Tena Ikiwezekana WAJITOE Kucheza Ligi Kwa Muda, Ili Waweke Mkazo Ktk Michezo Ya Klabu Bingwa!! Bahati Mbaya Na Afisa Mtendaji Mkuu Wa AZAM, Saad Kawemba Naye Akaingia Ktk Ujinga Huo Pia Na Kuanza Kutoa Maneno Ya Shombo Kwa Wanaopinga Kwao Kubakia Na Michezo Mingi Ya Viporo!!! Matokeo Yake Ameanza Kuyaona Viporo Vimechacha!!! Na Wao Mwisho Umewadia Kuanzia Leo Na Mwisho Ni Tunisia, Waje TUKUTANE Ktk Ligi Yetu Ya MIPANGO Tu!!!!
 
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia lawama waamuzi eti kwanini wameipendelea timu ya misri kinyume chake walitakiwa waipendelee Yanga.Kama haitoshi Mh.Murro akawatupia lawama mashabiki wa Simba Kwa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu kama walivyovaa All ahal .Tunamwulisha Mh.Murro alitaka hao mashabiki wavaa rangi ya kijani Na njano?Mh. Murro ukituambia Yanga ni timu ya Kimataifa Leo imekuwaje mbona imecheza mpira wa kichangani? Viongozi wa Yanga hao waamuzi ni Afrika tatizo mmezoea waamuzi wa bongo ambao TFF inawapa maagizo wawapendelee.Yanga Mpira huchezwa uwanjani sio magazeti waini kulala.

akitolewa anaingia kombe la azam la shirikisho bado yumo sna
 
nimeyafurahia matokeo balaaa koma zenu alaaaa na bado jana washabikiwao.waliowaonesha jinsi ya kushangilia sio nyinyi mingoma mingi kama mnatoka jando
 
Jerry Muro mbona unasahau haraka? Mechi ya Simba Na TP mazembe mashabiki wa Yanga walivaa jezi za simba? Mashabiki wa Yanga waliwashangilia Simba? Acha tuhuma za kipumbavu mkuu
 
Mtani jembe kaamuka....
Subiri mapinduzi ww haya hayajui
 
Mikia level yenu ni kujadili mpira wa matopeni. International football haiwahusu wakati huu.
Kama mna malalamiko pelekeni tena kwa Nape.
 
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia lawama waamuzi eti kwanini wameipendelea timu ya misri kinyume chake walitakiwa waipendelee Yanga.Kama haitoshi Mh.Murro akawatupia lawama mashabiki wa Simba Kwa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu kama walivyovaa All ahal .Tunamwulisha Mh.Murro alitaka hao mashabiki wavaa rangi ya kijani Na njano?Mh. Murro ukituambia Yanga ni timu ya Kimataifa Leo imekuwaje mbona imecheza mpira wa kichangani? Viongozi wa Yanga hao waamuzi ni Afrika tatizo mmezoea waamuzi wa bongo ambao TFF inawapa maagizo wawapendelee.Yanga Mpira huchezwa uwanjani sio magazeti waini kulala.
Duh...

Simba mna tabu kwelikweli...

Hv Yanga wangefungwa ingekuwaje?...

Kwenye mpira wetu wa sasa lolote laweza tokea..Yanga wanaweza kwenda Misri na bado wakatoka sare ya 1-1 ama 2-2...Na wanaweza wakashinda...Zama zimebadilika...

Halafu..Ieleweke kwamba Yanga wakitolewa wanaenda confederation cup...Wanaendelea kuwa 'wa Kimataifa'...
 
Hayo magoli anafunga nani? Hivi jana goli la yanga alifunga nani? tambwe alikuwepo?
 
Hivi huyo Muro nae amekua mhesimiwa siku hizi ? Yanga bwana alitoa Na wamisri wakatwaa. Dead and gone .
 
Tena Jerry Murro Ndio Kinara Wakiwatusi Watu Wanaopinga Wao Kukaa Tu Bila Ya Kucheza Mechi, Eti Kwanini Wanawashwa Kwa Timu Yao Kupewa Mapumziko Marefu!! Wawaache Wao Ni Wakimataifa Bhana, Tena Ikiwezekana WAJITOE Kucheza Ligi Kwa Muda, Ili Waweke Mkazo Ktk Michezo Ya Klabu Bingwa!! Bahati Mbaya Na Afisa Mtendaji Mkuu Wa AZAM, Saad Kawemba Naye Akaingia Ktk Ujinga Huo Pia Na Kuanza Kutoa Maneno Ya Shombo Kwa Wanaopinga Kwao Kubakia Na Michezo Mingi Ya Viporo!!! Matokeo Yake Ameanza Kuyaona Viporo Vimechacha!!! Na Wao Mwisho Umewadia Kuanzia Leo Na Mwisho Ni Tunisia, Waje TUKUTANE Ktk Ligi Yetu Ya MIPANGO Tu!!!!
Waacheni! Ndo tatizo la watu wasiojua mpira kuwa viongozi.

Wote watatolewa.
 
Wanasimba lini sisi tunacheza na cc na mara ya mwisho tulicheza lini matokeo yalikuaje na hatua gani tulifia na tulicheza na nani naombeni mwongozo wanasimba wenzangu
Si Mwanasimba Ww, Ungekuwa Unajua Kila Kitu Kinachoihusu Klabu Yako!!! Ila Kwa Vile Umepewa Uzuzu Na Jerry Murro, Kwa Kudanganywa Kuwa Timu Yenu Ni Ya Kimataifa, Hivyo Mtawafunga Tu Wamisri Wale!! Tusidanganywe Na Viongozi Wetu Wapiga Dili, Soka La Bongo Liko Underground Mno Na Limestaki Tu!!! Eti Yanga Iitwe Ya Kimataifa, Pumbavuuu!!! Na TP Mazembe Watajiita Vp!!!!??
 
Duh...

Simba mna tabu kwelikweli...

Hv Yanga wangefungwa ingekuwaje?...

Kwenye mpira wetu wa sasa lolote laweza tokea..Yanga wanaweza kwenda Misri na bado wakatoka sare ya 1-1 ama 2-2...Na wanaweza wakashinda...Zama zimebadilika...

Halafu..Ieleweke kwamba Yanga wakitolewa wanaenda confederation cup...Wanaendelea kuwa 'wa Kimataifa'...
Mkuu tuongee ukweli.
Kiufupi uwezo wa Yanga kuifunga au hata kutoa droo na Al ahly kwao hamna tena kwa mpira ule wa jana, mmefanikiwa sana sita.
 
Wanasimba lini sisi tunacheza na cc na mara ya mwisho tulicheza lini matokeo yalikuaje na hatua gani tulifia na tulicheza na nani naombeni mwongozo wanasimba wenzangu
Hili swali kamuulize mulo kucheza wacheze yanga All hillaly Simba imeingiaje.
 
Huyu jamaa hayuko serious kabisa na kama mambo anayoongea ndio anajitahidi kwenda sawa na audience yake (Yanga) basi tuna tatizo kubwa katika vichwa vyetu. Anaweza akawa anachangia matokeo mabaya!
By the way, ile project ya Uwanja ya yanga pamoja na ujenzi wa jengo mtaa wa mafia, Kariakoo vinaendeleaje!?
 
Back
Top Bottom