Wee Tulia Dawa Ikuingie Vizuri, Kwani Si Siku Chache Tu Humu Mlikuwa Mkiwaponda Wapenzi, Washabiki Na Wanachama Wa Simba, Kuwa Ni Timu Ya Mchangani (NDONDO) Tu!! Pia Labda Ulikuwa Haujawa Na Akili Na Ufahamu, Wkt Ule Simba Walipocheza Na TP Mazembe Uwanja Wa Taifa Pale Pale, Washabiki, Wapenzi Na Wanachama Wa Yanga Walinunua Magauni Na Blauzi Za TP Mazembe Na Kuishangilia Mwanzo Mwisho Na Kufurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Ule!!! Kwa Taarifa Yako Ww Na Wenzio Msiojua Utani Na Upinzani Wa Jadi Wa Klabu Hizi, Hakuna Hata Siku 1 Yanga Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Simba!! Ama Simba Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Yanga!!! Au Wavae Mavazi Ama Jezi Za Upande Mwingine!!! Hilo Haliwezekani Abadani!!Hayo Ndio Matokeo Ya Nyodo, Ngebe, Kashfa, Dharau, Maneno Ya Shombo Na Kujikweza Kwenu, Mkiongozwa Na Mpiga Debe Wenu, Kwa Kujidanganya Kuwa Eti Yanga Ni Ya Kimataifa, Yaani Level Ya Akina TP Mazembe!! Sasa Chezeni Na Hao Wakimataifa Wenzenu, Mnalialia Nini!!!!?