Maskini Jerry Muro droo ya Al Ahal yamrusha akili

Maskini Jerry Muro droo ya Al Ahal yamrusha akili

Balantanda MKUU hizo ni ndoto za mchana Yanga hatoki misri sio chini ya bao 3 wamisri walisema Jana baada ya mechi
 
Tuache unafiki mbabe wa waarabu Tz ni Simba hao wengine wanafuata mkumbo tuu.
Ila jana ilitupasa kuonesha uzalendo kwanza hayo mengine ilibidi kuweka kapuni for a while
 
Kwanzia sasa ni mshabiki wa waarabu, waarabu wanarijua soka tofauti na sisi maneno mengi..ni hayo tu
 
Hivi yanga walikuwa wanajiandaa na nini sasa?...Maana kwa mpira wa jana hata timu yangu ya Nyundo fc ya hapa Chalinze isingecheza vile!!.
 
Wa mchangani kama kawaida yao, level za kimataifa wanazisoma kwenye magazeti tu.

Na muishukuru Yanga na Azam zinawaletea burudani mnajazana viwanjani.

BTW mwakani tena mpo mchangani.
 
bora yanga wamedroo na waarabu wa misri kuliko simba kufungwa na waarabu wa Tanga...kweli simba ni timu ya matope na kipindi si watafuga kambare
 
Wee Tulia Dawa Ikuingie Vizuri, Kwani Si Siku Chache Tu Humu Mlikuwa Mkiwaponda Wapenzi, Washabiki Na Wanachama Wa Simba, Kuwa Ni Timu Ya Mchangani (NDONDO) Tu!! Pia Labda Ulikuwa Haujawa Na Akili Na Ufahamu, Wkt Ule Simba Walipocheza Na TP Mazembe Uwanja Wa Taifa Pale Pale, Washabiki, Wapenzi Na Wanachama Wa Yanga Walinunua Magauni Na Blauzi Za TP Mazembe Na Kuishangilia Mwanzo Mwisho Na Kufurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Ule!!! Kwa Taarifa Yako Ww Na Wenzio Msiojua Utani Na Upinzani Wa Jadi Wa Klabu Hizi, Hakuna Hata Siku 1 Yanga Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Simba!! Ama Simba Wakafurahishwa Na Matokeo Mazuri Ya Yanga!!! Au Wavae Mavazi Ama Jezi Za Upande Mwingine!!! Hilo Haliwezekani Abadani!!Hayo Ndio Matokeo Ya Nyodo, Ngebe, Kashfa, Dharau, Maneno Ya Shombo Na Kujikweza Kwenu, Mkiongozwa Na Mpiga Debe Wenu, Kwa Kujidanganya Kuwa Eti Yanga Ni Ya Kimataifa, Yaani Level Ya Akina TP Mazembe!! Sasa Chezeni Na Hao Wakimataifa Wenzenu, Mnalialia Nini!!!!?
Ahaaaa ahaaaaaa mzee wa matopeni umeyapokeaje matokeo yenu dhidi ya waarabu wa Tanga?
 
Matokeo ya simba Na coastal in ya kawaida tu matokeo yanayogonga vichwa vya wapenzi wa kandanda ni Yale ya Yanga vs All Ehaly, Yanga Kwa majigambo yao waliwadanganya Watanzania kuwa watashinda huo mchezo kilichokuwa hakijulikani ni idadi ya magoli
 
Kumbe kufungwa kawaida ila ku droo tatizo kweli mpira wa bongo noma
 
Back
Top Bottom