Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia na yeye akateleza akaanguka ,kitu kingine lulu mpaka anakamatwa alikua hajui kama kanumba amekufa au la
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia na yeye akateleza akaanguka ,kitu kingine lulu mpaka anakamatwa alikua hajui kama kanumba amekufa au la
Pasco hata mimi namashaka sana na huyu mtu anayeitwa Dr. wa Kanumba,kuna mambo mengi sana ameeleza ni kama hadithi fulani isiyo na mtiririko wa mtu mwenye taaluma ya udakitari.Hapo alipokuwa amekataa kueleza Lulu alipo mpaka wakatumia extra skillz ili aseme alipo pamenishtua.Hii documentary inafichua mengi kama sio kuweka sintofahamu/way forward ya sakata zima. Mimi naweza sema kuwa L alihukumiwa na media bila kutoa mwanya wa kupata sakata zima.Angalizo: Nina mashaka sana na huyu jamaa anayejiita daktari wa Kanumba, I seriously doubt him hata kama japo amesoma hata u - medical assistant!. I think ni imposter!.
Pale kwenye msiba niliongea nae akasema yeye alifika kwa K saa 7 usiku na alipompima aligundua ameshakufa!. Ila hakuwaambia aliowakuta ili wasishtuke!. Eti baada ya kujua K keshakufa, ni yeye ali valisha nguo na kuwadanganya waliopo wamuwahishe hospitali!. Hivi kweli ni vitendo vya professional doctor!.
Hiyo story ya L kupigwa sana na kujeruhiwa vibaya pia aliisema!. L alikutwa night club akijirusha!.
Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.
Nawathibitishia kesi itakapo anza, mtalishuhudia hili la imposter kujifanya ni medical doctor !. Mkumbuke pia ni doctor huyu huyu ndio ameigiza movie ya mwisho ya K yeye akiact ni daktari!.
Pasco.