Angalizo: Nina mashaka sana na huyu jamaa anayejiita daktari wa Kanumba, I seriously doubt him hata kama japo amesoma hata u - medical assistant!. I think ni imposter!.
Pale kwenye msiba niliongea nae akasema yeye alifika kwa K saa 7 usiku na alipompima aligundua ameshakufa!. Ila hakuwaambia aliowakuta ili wasishtuke!. Eti baada ya kujua K keshakufa, ni yeye ali valisha nguo na kuwadanganya waliopo wamuwahishe hospitali!. Hivi kweli ni vitendo vya professional doctor!.
Hiyo story ya L kupigwa sana na kujeruhiwa vibaya pia aliisema!. L alikutwa night club akijirusha!.
Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.
Nawathibitishia kesi itakapo anza, mtalishuhudia hili la imposter kujifanya ni medical doctor !. Mkumbuke pia ni doctor huyu huyu ndio ameigiza movie ya mwisho ya K yeye akiact ni daktari!.
Pasco.