Kingdan
Member
- May 5, 2020
- 61
- 49
Habari zenu!
Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote".
Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate.
Kuna nchi moja imebarikiwa sana katika bara la Afrika lakin Shida ni kwamba Watu wake ni Watoto Kifikra. Nchi hii Ina Kila kitu ambacho kingeweza kuiinua kiuchumi na ikawa tishio duniani.
Hebu fikiria, vitu kama vile
Nadhani siwezi kutaja mambo yoote nikayamaliza, Lakin kubwa ni kujua kwamba, nchi hii imebarikiwa Sana!!!
Lakin "Watu hawa" wangepewa uelevu kidogo basi Wasingekubali nguvu zao zitumiwe ilhali Wana Mali ambazo zinaweza kuwaneemesha zaidi.
Ni kweli nchi hii imebarikiwa lakini kuna Shida mahala, Kwani Mtoto kageuzwa kuwa mtumwa kwa kuvishwa nira ngumu ambayo inampa maumivu Sana!!
Laiti viongozi wa huyu Mtoto wangekua na fikra chanya, basi wangeweza kutumia Mali kwa manufaa ya Mtoto huyu na kizazi chake kijacho!!!
MASKINI, baraka hizi zimeangukia mikononi mwa Esau, mtu asiyejua thamani ya Urithi kama mzawa wa kwanza!!
Ngoja nimalize kwa kusema
"Wakikua Watatumia Mali walizobarikiwa . Wakidumaa Watatumiwa wao na Mali zao kama ilivyo"

- Bandari nzuri
- Madini ya Kila aina
- Mbuga za kipekee za Wanyama,
- Maji ya kutosha,
- Amani na Utulivu,
- Gesi asilia,
- Ardhi yenye rutuba,
- Hali nzuri ya hewa,
- Kiunganishi cha nchi nyingi