mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Na hizo porojo zako ulizoandika hazimfanyi messi kuwa bora kuliko christiano,-Hilo halimfanyi Ronaldo kuwa bora kuliko Messi.
-Inafahamika kwamba Ronaldo anacheza kwa maslahi yake Binafsi ila Messi anacheza kwa maslahi ya timu.
-Messi ni talent, Ronaldo ni anafosi tuu.
mechi bado saba mkuu, hivi unakumbuka msimu huu huu cr7 alimzidi messi zaidi ya goli kumi na zilipatikana?Messi atasubiri sana kumkuta Ronaldo kwa kufumania nyavu. Kazidiwa goli nne na ligi inakaribia ukingoni!
Na hizo porojo zako ulizoandika hazimfanyi messi kuwa bora kuliko christiano,
Ivi mchezaji akifunga magoli timu haifaidiki? ronaldo hajawahi ku assist??
Mtu ndio kashapitwa hivooo we Endelea kuota mchana.
mechi bado saba mkuu, hivi unakumbuka msimu huu huu cr7 alimzidi messi zaidi ya goli kumi na zilipatikana?
Kama mpira ungekuwa idadi ya magoli tu basi
inzaghi>zidane
Van nisterooy> ronaldinho
gerd muller> maradona n.k
ndio maana wapenzi wa kweli wanaangalia mpira na kuenjoy na kujua mchezaji mwenye kiwango na sio wale ambao hawaangalii mechi wanakmbilia kuangalia nanii kafunga magoli eti ndio mchezaji bora, mpira sio statistics, japokuwa zina sehemu yake.
mpira ni gameplay ya mchezaji miongoni mwa wachezaji wenzake.
kamwe hata siku moja siwezi kumlinganisha mchezaji ambaye kazi yake kufeediwa mipira na yeye kuweka mguu ili lie goli na yule anayeibeba timu yake kuanzia kwenye kutengeneza nafasi hadi kufunga.
Mimi mchezaji complete na mchezaji ambaye ni "best player" keangu ni yule mchezaji anayeweza kuisaidia team yake katika nyanja zaidi ya moja kwamba hata kukiwa na upungufu sehemu fulani najua fulani yupo atacover hilo gap just by his ability
sikubaliani na wewe asilimia 100%Huyo mchezaji hayupo.
mechi bado saba mkuu, hivi unakumbuka msimu huu huu cr7 alimzidi messi zaidi ya goli kumi na zilipatikana?
-Huwa mnamlinganisha Messi na Ronaldo upande wa Magoli tuu.
-Vipi kuhusu Assist na Dribbling n.k?
Na vipi kuhusu uhodari wa kutumia kwa usawa miguu yote miwili? Vipi kuhusu uwezo wa kutumia kichwa? Vipi uwezo wa kuruka hewani kugombea mipira ya juu kama kross ya juu vile? Maeneo yote hayo Messi ni cha mtoto kwa Ronaldo! Lakini hiyo ni tisa, kumi ni kwamba lengo kuu la mpira ni magoli na ndio kigezo pekee cha Ushindi! Lakini pia mshambuliaji yeyoye hupimwa kwa wingi wa magoli aliyofunga! Hicho ndicho kigezo cha kisayansi cha kuwalinganisha strikers very objectively.