NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Na vipi kuhusu uhodari wa kutumia kwa usawa miguu yote miwili? Vipi kuhusu uwezo wa kutumia kichwa? Vipi uwezo wa kuruka hewani kugombea mipira ya juu kama kross ya juu vile? Maeneo yote hayo Messi ni cha mtoto kwa Ronaldo! Lakini hiyo ni tisa, kumi ni kwamba lengo kuu la mpira ni magoli na ndio kigezo pekee cha Ushindi! Lakini pia mshambuliaji yeyoye hupimwa kwa wingi wa magoli aliyofunga! Hicho ndicho kigezo cha kisayansi cha kuwalinganisha strikers very objectively.
Teh teh hapo kumbe Messi anatumia mguu mmoja na bado anamzidi Penaldo anayetumia miguu yote miwili! jiulize ingekuwaje kama Messi angekuwa anatumia miguu yote!