Clouds hao....
duh mengine tunawasingizia jamani.......
kilaudis efuem watakoma mwaka huu
Clouds wamemsababishia awe mvivu, mlevi, na teja.
Mr. Nice wa wakati ule ndiye angekua Diamond wa mwaka huu!
watanzania asilimia 75 ni wavivu sana wanapenda starehe kuliko kujituma kupata hela za kufanyia
starehe.
watanzania asilimia 75 ni wavivu sana wanapenda starehe kuliko kujituma kupata hela za kufanyia starehe.
Sijui takwimu nyingine mnazitoaga wapi.
watanzania asilimia 75 ni wavivu sana wanapenda starehe kuliko kujituma kupata hela za kufanyia starehe.