Maskini Mr. Nice

Maskini Mr. Nice

Arudi kulima mihogo kukata mauno kumemshinda.
 
Aje tujiunge kwenye harakati Mr Nice sio mtu wa kupotea kirahisi hivi....Dada na prof watakuasist.

Hao "babu" ndio clouds wa kenya, ila kwa kuwa wamekushindwa roho zetu kwatu hawajakunyonya, rudi bongo uendelee kusaga rhumba mwaya huku tukikaa pembeni na kukuangalia.

Ila ungefanikiwa tungekuja na silaha za maangamizi kukung'oa kwa hao wanyonyaji..

Ukiona unafanikiwa ujue unanyonywa.
 
takwimu za kweli hizo kaka na inawezekana ni 85% watz ni wavivu na wanapenda short cut sana,...sishangai kuona akina dada wengi wamejiingiza kwenye biashara ya kubeba sembe.

Kaka,labda umesahau idadi ya watanzania.alafu mtu akibeba sembe usinambia eti mvivu,mi nafikiri hata wapiga debe sio wavivu,wanakula kwa jasho lao.Usitake watu wote wavae tai ndo ujue wachapakazi.
 
Back
Top Bottom