maskini rejao...

huyu Rejao nilimwambia, wanawake wengine wana mikosi, ona sasa siku hizi kafulia.

Hata macho haya-sparkle tena.

Kongosho, ukiniangalia hapa karoho kanakudundaaaa..! Hujamiss nyonya yangu?
Heeee..Toka nimekuwa na Cantalisia mambo yangu yanazidi tu kunyooka. Najilaumu sana siku zote huyu alikuwa wapi!!
 
Last edited by a moderator:
aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
nin sasa mi naona kama ni kikao cha familia ya
lizzy
canta
bishanga
nn


hatujaelewa rejao kafanyaje
 
aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
nin sasa mi naona kama ni kikao cha familia ya
lizzy
canta
bishanga
nn


hatujaelewa rejao kafanyaje
Kikao kipi flo? We mpe pole rejao bana,nasikia kang'atwa mpua huko jamvi la siasa.
 
watsup pple!!?i'm glad 2b in jf.....democrasia ya kwel tz bado haijafika au sio pple?
 
subiri tuirudishe mada........pole rejao kwa maswahibu yaliyokukuta ndio ukubwa huo!
 
subiri tuirudishe mada........pole rejao kwa maswahibu yaliyokukuta ndio ukubwa huo!

Mpenziwe Cantalisia alshampooza zamani akarudi uliongoni akiwa fiti kupata ngeu nyingine za uso, pua, kichwani
 
Last edited by a moderator:
Missing you guys.... Happy New Year 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…